Je, Ni sawa mwanaume kugomea sherehe ya send-off?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Je ni sawa kwa mwanaume wakati wa kuoa kukataa sherehe ya send off matokeo yake kuwa na sherehe moja tu siku ya harusi ijulikanayo kama reception?

Je hili jambo linawezekana yaani uwezekano wa kuwashawishi ndugu na jamaa kwamba kama mwanaume hautaki kuwe na sherehe mbili bali iwe moja tu?

*Naelewa kwamba sendoff huwa inafanywa upande wa mwanamke.
 
Wambie hutaki na sababu iwe hata wakiiandaa (upande wa kike) hutaweza kwenda.
Usipokwenda hata kuifanya itakuwa haina maana.
 
Peleka sababu Za msingii..
na sio kujiamulia as if unaoa ngombe hiyo siku utakayo wewe(j.mosi/reception
 
KWAN SENDOFF UNAFANYIWA WEWE AU MKEO? NA MARA NYING UPANDE WA MKE NDIO WANAGHARAMIA HYO SHUHULI LABDA UJITIE KUMBELEMBELE CHA KUJIFANYA UNAZO NA UPEDESHEE
 
Swala la kukataa sioni anayefanya send off ni mwanamke kwa gharama zao kama vile wewe unavyotakiwa kufanya siku ya harusi........lakini kuna kuwaga na mazungumzo au makubaliano pande zote kufanya reception pekee japokuwa mwanamke ni vigumu kukubali
 
Ni ngumu sana kueleweka labda mwanamke apate ujauzito muishi wote kwanza then mje mbariki ndoa maana ndoa zingine huwa kama harusi kabisa ila isiyokuwa na send-off.
 
Je ni sawa kwa mwanaume wakati wa kuoa kukataa sherehe ya send off matokeo yake kuwa na sherehe moja tu siku ya harusi ijulikanayo kama reception?

Je hili jambo linawezekana yaani uwezekano wa kuwashawishi ndugu na jamaa kwamba kama mwanaume hautaki kuwe na sherehe mbili bali iwe moja tu?

*Naelewa kwamba sendoff huwa inafanywa upande wa mwanamke.
Send off ni sherehe ya wazazi wa mwanamke kumuaga binti yao, mwanaume ana mamlaka gani ya kukataa wazazi wasimuage binti yao?
 
Anakataaje wkt tunawapa ukoo wao mzima kadi za mwaliko??ajipangee na reception
 
Sio sahihi buanaah......
Labda kama umelazimishwa kumuoa na wazaz Wa make wako
 
Duuu! kwa hiyo unataka hiyo bajet yao ya sendoff wakuunganishie??? Hilo ni suala la wazaz wa kike ww kiherehere cha nn?? kwanza hata kd huwa mnapewa bure
 
Katika zama hzi za kubana matumizi sioni umuhimu wa send off wala harusi yenyewe..kwanza magufuli kapiga marufuku michango isiyo na maana.
 
tatizo linakuja pale wanapotaka kufanya hiyo send off aaafu hela za maandalizi ya vikao nk wewe ndio unaombwa!!! wanawake huwa wanafikiria ufahari zaidi bila kuestimate gharama za kufanyia huo ufahari
 
Mi nadhani ni bahiri, sasa unaona ukikubsli send off ztakutoka.
Sendoff anafanyiwa mwanamke kuagwa na nduguze acha hizo nro
 
Back
Top Bottom