habari ya leo ndugu, naombeni kujuzwa jinsi ya kupeleka barua ya posa kwa wanyaturu.
nitazamia wikii hii kuenda kuomba idhini ya kumuoa dada mmoja, niliambiwa nilazima niende na barua kwa...
Za jioni wapendwa,natumaini nyote mko poa,kuna swali huwa najiuliza kwani unapoachana au mahusiano kuvunjika mwanamke anakuwa na shutuma na matusi makubwa kwa mwanaume aliye achana nae,ili hali...
Kumekuwa na maswali yasiyo na majibu miongoni mwa jamii kwamba imekuaje vijana wa kiume wamekuwa ni waongo sana hasa linapokuja swala la kuoa? Kwa kadiri siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo...
Habari za w'end wakuu,
Watu wengi wanaponda kweli mtu kuwanza mapenzi tuuuu....pasipo kuwanza mambo ya maendeleo lakini ni jambo lisilopingika kuwa siku hazifanani na wala sio kila wakati...
Habarini wadau,
Kama wiki mbili hivi zimepita nilipata text kutoka kwa girlfriend kuwa yuko kituo fulani cha afya kalazwa tumbo linamsumbua, nilifika kituoni alikuwa kwenye hali nzuri na sababu...
NATAFUTA RAFIKI WA KIKE MCHAMUNGU MRISTO ANAYEPENDA KUJIFUNZA BIBLIA,UJASILIA MALI,IBADA NA MAOMBI ILI TUBADILISHANE MAWAZO YA KIMAISHA KWA MAWASILIANO 0686081871
unatembea barabarani ama njiani ama sokoni ama kanisani ama msikitini ama chuo ama popote pale.
ghafla unamuona msichana mrembo au mvulana mzuri.
mnasogeleana na mmoja amtamani mwenzake na siyo...
Kuna msichana mmoja bomba wa geti kali ameenda vidato mpaka chuo sasa anapiga kazi posta nilimfukuzia balaa kuja kupiga mzigo hauna ladha kabisa yaani napiga ile kutumia energy kupizi tu.
Sasa...
Habarini Wadau,
Hivi sijui ni kwa Tanzania tu au ni tabia iliyopo kwa wanawake hata wa mataifa mengine? Mwanamke hata kama alikuwa mtulivu akishaanza kufanya kazi zifuatazo hata ukimuoa basi jua...
Habari wana jukwaa,
Mimi ni mwanaume nina mke na watoto wawili, mke wangu nimefunga naye ndoa kabisa kanisani.Sasa kuna hili tatizo linanisumbua karibu miezi miwili sasa, ni mama mmoja ambaye ni...
nipo moshi leo nimejaribu kusimama stendi apa gorofani nimekutana na madem wakali balaa nimepanda shanti town kisha kcmc daa aisee watoto wa kichaga ni visu na nimefuatilia siyo warahisi rahisi...
Maisha Matam sana ukikutana na Mtu anaye jua thamani yako
Mume wake hakuwa akimjali, kila siku alikuwa akimsababishia maumivu ya kihisia.
Siku moja mke akamtizama mumewe aliyekuwa akicheza kwa...
Guys, am married. Niko na watoto wawili, but I want more children ila mke hajui kukaa kwa nafasi ake vizur. Its time nijaribu nje.
Sasa, mwanamke ninaetafuta anizalie: Mimba na mtoto nitatunza...
Maana unakuta binti mdogo na mzee umri wa babu yake, halafu uko comfortable! Na mlivyo na roho mbaya mnafikia hadi kuwapuna pesa za mafao/ viinua mgonga bila hata huruma! Hata kama ni kiu ya pesa...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza.jamani! Suala la kufanya mapenzi ni process na wala si la bahati mbaya,mnaitana na kuelekezana sehemu ya kuonana,mnaingia chumbani na mnajifungia milango na...
Wakuu habarini,
Kuna huu utamaduni wa wakati wa sherehe za harusi ambapo maharusi huingia ukumbini kwa wimbo maalumu.
Tuambie wewe uliingia au unatarajia kuingia na wimbo gani siku ya sherehe...
Popote ulipo nakusalimu, nakumbuka siku ya kwanza kuingia getoni kwangu ulipokelewa na sauti ya hili limusic:
Wasalimie wanao na mumewe.
Ndio mimi yuleyule akupendaye!
NB: usimmaind mkewe kama...
Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa..
Jamani hii title imeanza kupunguza uzito wake hapa Love Connect. Hili ni jamvi la Love Connect but inaonekan sasa kama vile linakua la People Connect...
Labda nimeliona hili kipindi hichi kutokana na muda wa mimi kujua mambo mengi. Ila kwanini siku hizi watu tumekua wabinafsi sana?
Kila mtu anajiwazia yeye tu na familia yake, hata ndugu imekua...