Earthworker
Member
- Jul 15, 2011
- 83
- 30
Maana unakuta binti mdogo na mzee umri wa babu yake, halafu uko comfortable! Na mlivyo na roho mbaya mnafikia hadi kuwapuna pesa za mafao/ viinua mgonga bila hata huruma! Hata kama ni kiu ya pesa hiyo yenu imezidi changamkeni mfanye kazi!
MZEE KWANZA PISHA MZEE AHUDUMIWE
MZEE KWANZA PISHA MZEE AHUDUMIWE