Fikra Angavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 301
- 105
Labda nimeliona hili kipindi hichi kutokana na muda wa mimi kujua mambo mengi. Ila kwanini siku hizi watu tumekua wabinafsi sana?
Kila mtu anajiwazia yeye tu na familia yake, hata ndugu imekua tatizo kusaidiana. Majirani sikuhizi hawa wakanyi watoto wa jirani mwenzake anapokosea au hata kufikisha taarifa kwa mzazi mwenzake juu ya tabia za mtoto zaidi ya kusema "shauri yake na wazazi wake" kwanini ?
Au ni kuigiza sana mambo ya tamaduni za kigeni na kuziona zetu hazifai kutokana na kulinganisha zao na zetu bila kuangalia mazingira hayaendani?
Je, ni elimu tunazopata ndio zinapelekea kuharibika kwa tabia?
Je, ni malezi ya wazazi wetu siku hizi hawachukui jukumu la kulea watoto kama inavyotakiwa au ni nini?
Au ni mimi tu ndio nawaza vitu havipo kama ninavyowaza?