Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Popote ulipo nakusalimu, nakumbuka siku ya kwanza kuingia getoni kwangu ulipokelewa na sauti ya hili limusic:
Wasalimie wanao na mumewe.
Ndio mimi yuleyule akupendaye!
NB: usimmaind mkewe kama anapenda huu wimbo ukamhusianisha na mimi.
Wasalimie wanao na mumewe.
Ndio mimi yuleyule akupendaye!
NB: usimmaind mkewe kama anapenda huu wimbo ukamhusianisha na mimi.