Siku hazifanani

Kakole

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,094
1,745
Habari za w'end wakuu,

Watu wengi wanaponda kweli mtu kuwanza mapenzi tuuuu....pasipo kuwanza mambo ya maendeleo lakini ni jambo lisilopingika kuwa siku hazifanani na wala sio kila wakati unawanza maendeleo tu, kwakweli nahisi leo akili yangu inawaza kugegeda tu.

W'end wapi wakuu, nipeni direction, nipo ndani ya jiji la makonda leo ila mimi sio mwanaume wa dar. nimefanya kuja tu on time.
 
Kaka una ubavu na bata za mjini kweli?? Kale za hukohuko mkoani hizi za kwa makonda tuachie wenyewe wanaume wa dar ndio tunazimudu

  • Thanks
Reactions: BRN
Dah.. mwana ningekualika huku mitaa ya kati ila bata za huku ni ndefu usije ukashindwa kurudi mkoa
 
Kaka una ubavu na bata za mjini kweli?? Kale za hukohuko mkoani hizi za kwa makonda tuachie wenyewe wanaume wa dar ndio tunazimudu
Hahahahaha.......kwani zina nini mkuu wangu mbona unanitisha namna hiyo? ila sasahivi si mchezo kwakweli maana hilo daraja la kigamboni km ulaya vile
 
Dah.. mwana ningekualika huku mitaa ya kati ila bata za huku ni ndefu usije ukashindwa kurudi mkoa
.....hahahaha.....Mkuu Rohombaya acha roho mbaya zako hizo, nipe ramani mwanao ili nikirudi mkoa niwe na cha kuwadidhia wana huko, niko vzr fwedha ipo nimetoka kuuza dhahabu.
 
Kumbe we mfanya biashara wa madini? Basi karibu jiunge na wanaume wa dar
 
duuuuh! afande kifimbo , nataka mtoto decent lakini, si jitu lishakubuhu lisije likaniibia usiku.
Hahahhaa..yasije yakukuta,kuna mtu alikuwa anahamu ya kugegeda sasa badala ya kutuma ujumbe huo kwa washkaji akatuma kwenye group la familia...balaaa hiyo aibu yake
1460873701464.jpg
 
Karibu kiwanja kipo kizuri Tabata Bima kinaitwa KB Aiseeee unakunywa bia mtoto dizan ya lulu,sepetu,uwoya anakata uno pembeni yako ngoma zinapigwa za maana aiseee kaka hata kama una marejesho NMB utasahau
 
Duuuh! Mkuu msomso, hiyo inaitwa dont try it at home, nakuja huko vip ulinzi lakini upo?
 
Back
Top Bottom