Wimbo wa kuingilia maharusi ukumbini

BRN

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
4,932
6,260
Wakuu habarini,

Kuna huu utamaduni wa wakati wa sherehe za harusi ambapo maharusi huingia ukumbini kwa wimbo maalumu.

Tuambie wewe uliingia au unatarajia kuingia na wimbo gani siku ya sherehe yako na kwanini ulichagua wimbo huo.

Karibuni.
 
Dah...Tanganyika yangu,
 

Attachments

  • 1460780570367.jpg
    1460780570367.jpg
    9 KB · Views: 146
Back
Top Bottom