manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 679
nipo moshi leo nimejaribu kusimama stendi apa gorofani nimekutana na madem wakali balaa nimepanda shanti town kisha kcmc daa aisee watoto wa kichaga ni visu na nimefuatilia siyo warahisi rahisi kukubali kuvua ovyo... pia kwenye shughuli wanajituma sana....