juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Kama kichwa cha habari kinavojieleza.jamani! Suala la kufanya mapenzi ni process na wala si la bahati mbaya,mnaitana na kuelekezana sehemu ya kuonana,mnaingia chumbani na mnajifungia milango na madirisha ili watu wasiwaone,baada ya hapo mnavuana nguo za nje na ndani na kuanza tendo lenyewe sasa.harafu mwanamke anatokea anapata mimba na haolewi na huyo mwanaume,au anatelekezwa.mwisho wa siku anazaa nabakishazaa anaanza kulalama eti "nilipata bahati mbaya hii mimba".huwa nawachukia sana wanawake wa namna hiyo.bahati mbaya kwani ulikuwa hujui RESULTS za kung`atwa dry? Au ulibakwa? Na hata ungebakwa pia ni uzembe,,kwa nini usubiri hadi mtu akumwagie?? Kwangu mimi hakunaga mimba ya bahati mbaya,mimba zote wanawake wanazipanga kubeba,byeeee