Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,208
- 4,405
unatembea barabarani ama njiani ama sokoni ama kanisani ama msikitini ama chuo ama popote pale.
ghafla unamuona msichana mrembo au mvulana mzuri.
mnasogeleana na mmoja amtamani mwenzake na siyo kumpenda.
mnapeana maneno machache na mmoja anakubali kutoa penzi kwa mwenzake kwa gharama ya pesa na mwingine amakubali kutoa pesa kwa kuuza utu wake kwa kutoa pesa.
masaa mawili ma dakika chache yanasababisha mmoja wao kuupata ukimwi ama gonjwa lolote.
na kisha wanaachana dakika kadhaa mbele.
mwisho kila mmoja anajua kuwa hakuyapata mapenzi bali maumivu.