Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

Discussion in 'Love Connect' started by AshaDii, May 24, 2011.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa..

  Jamani hii title imeanza kupunguza uzito wake hapa Love Connect. Hili ni jamvi la Love Connect but inaonekan sasa kama vile linakua la People Connect. Wanaosaka wapenzi wanatangaza kama vile wanatafuta product.

  Kwa wale ambao wako serious kutafuta wachumba awe wa kike au wa kiume walau basi kuweni serious na post mnazotuma kuonesha ni kweli unahitaji huyo mtu.

  Tips/Dondoo za kuzingatia kabla hujatuma ombi la kutafuta mwenza:
  • Eleza sifa zako za nje na ndani zikihusisha vitu kama umri, umbo, dini, upendavyo (walau hints), kazi na hata uraia naona pia unamata.
  • Hakikisha hizo sifa ulizotaja za unae muhitaji na wewe pia umeainisha zako.
  • Kama yupo JF please m-PM mana hamna haja ya kutupa wote faida otherwise kama mnatualika harusi.
  • Toa contacts walau e-mail address mana simu utakuwa umepalia makaa..
  • Unapotuma thread onesha basi you mean it maana kama ni utani it is better ikiwa jukwaa la jokes.
  • Na mengineyo ya muhimu
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,946
  Trophy Points: 280
  bibie nimefungua nikajua wewe ndio upo lonely
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  lol.......lol........lo........ Umenimaliza...
   
 4. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  Jamani nimetangaza kutafuta mchumba matokeo yake mtu amechukua email yangu na kuanza kunitumia mambo ya kipuuzi na matusi halafu ni mwanaume, sasa hadi imenibidi nitoe post, nini hii?

  Au nliielewa tofauti hii Love Connect huenda si kwa matumizi nilivyodhania mie au huwa haiwezekani kupata mpenzi humu? Sababu naona watu masihara yamezidi hata kama mtu uko serious.. Uhuu!!

  Najua wengi wanaotubeza sie tunao tafuta wachumba humu huenda wameoa au wameolewa bt sio vzuri wana JF kila kitu kitumike kadri ya matumizi yake yanayostahili.

  Kama huhitaji mchumba ya nini kuanza kubeza wenzio wenye nia hiyo? Loh tuelimeke wajemeni.

  Madhara yake hapo juu ni mamalamiko ya KAUK.
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Dah mm nilijua unatafuta nilisha anza kuandaa mistari ya kufa mtu hapa dahh umenimaliza nguvu ngoja nirudi counter
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Blaki Womani

  Umeona eeh... Blackwoman kwanza hio ndo imenifanya nitume huu uzi... nime observe watu wanachulia mzaha...
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  May 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mchumba huwezi kosa Fidel80, toka hapo nje wapo kibao.... Kazi njema hapo counter...
   
 8. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asha D nilivyoona post hii nimeshituka nikasema kulikoni bibie kumbe sio bana.

  Jioni njema
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  May 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Mlimazunzu... pole kwa kusumbuka, nilikua natoa tu tips... Jioni njema nawe pia..
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Partner nikadhani unatafuta sijui unamtafutia mtu!

  Nwy nashukuru kwa niaba ya wale wanaokua wanahitaji wenza kweli maana wengi wetu mi nikiwa mmoja wapo hua nachukulia kama utani.Ila kuna mahali nilikuja kugundua kwamba wapo wanaohitaji na kutafuta kweli kwahiyo hatuna budi kusoma mazingira kabla ya kuweka au kufanyia utani uzi wa mtu!
  Na wale waombaji nao waandike kwa style itakayoashiria kwamba wako siriaz....naamini kuna watu hapa wenye mbavu zao wapo hapa hapa kwahiyo tafutaneni tufurahie muungano!!
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  May 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  hahaha... Partner nifike huku bila wewe kujua mbona ingetakiwa
  niwe suspended kabisa... Asante kwa mchango wako ulo ongea ni kweli...
   
 12. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yaani we Asha huwa unanikosha! Mawazo yako yamekaa kimaendeleo zaid, bora ungezaliwa huku kwetu, ningekuwa billionare wa maadili.
   
 13. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  BW, angalia hapo juu haise! Huenda umekamilisha.
   
 14. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sasa waambie sharo hiphop hatanii, maana nimechoka na maisha ya ubachela, wakianza kutania tu, nablock hiyo facebook afu na log in kwa majina mengine.
  Niko siriaz.
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  May 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  lol...... Sharo hata nikiwa mbali waweza kua billionare wa maadili... si ndo hivi tunawasiliana...
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  May 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Nimeenda kwenye uzi wako kule... hope umejipanga vya kutosha...lol
   
 17. S

  SACoNa Member

  #17
  May 25, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanafanya Mzaha!
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  May 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Sio woote... wengine humaanisha.
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Presha ilikuwa imepanda wakati nasoma heading ya thread, content iliyomo ndani ikanifanya mapigo ya moyo yarudi katika hali ya kawaida
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  May 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Tuliza moyo.... Siwezi kumuacha mkubwa wako... He is everything...
   
Loading...