Habari zenu wana JF
Wapendwa kwa kuwa hili ni jukwaa letu pendwa na kujadili na kushauriana mambo mbalimbali ya maisha na mahusiano
Kuna tabia ambayo me binafsi huwa inanikera sana hususani...
Habari ya mwisho wa mwezi.
Kuna familia nyingi nimeziona zikihangaika au kumkatia tamaa mzaliwa wa kwanza.Huyu mzaliwa wa kwanza anaishi kama mzaliwa wa mwisho.
Ingawa umri wake ni mkubwa kuliko...
Imekua kawaida katika jamii ya sasa kukuta baadhi ya familia baadhi ya watoto wanajikuta katika makundi ambayo jamii inawetenga na kuwaona wamearibika au hawafai tena katika jamii. Kuna maswali...
Dada yangu yupo kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 20, yeye ni mama wa nyumbani, ana miradi yake ya kufuga kuku na kupika kukiwa na shughuli. Nilimtembelea tilikuta taratibu zake za nyumba, akiamka...
Wanajamvi mupooooooooo!
Najisikia kuwashirikisha jambo but sorry kwa wenye mapepo ya kukwazika wapite mbaliiii.
Raha ya tendo la ndoa ufanye na.....
1. unayempenda,
2.tena u nae mfeel...
Habari wapendwa,
Tuna miaka mitano na mume wangu na watoto wawili wakike 3years na wakiume 2months, tulipopata mtoto wakwanza wakike mume alifurahi sana sababu tulitafuta sana mtoto, tumepata...
Habari zenu wapendwa wa MMU.
Kuna swala linanitatiza kuhusu kurudiana na X. Hii ni kwa wote
Hivii, inakuwaje mtu unamuacha mpenzi wako unaoa/olewa mtu mwingine halafu eti baada ya muda unarudi...
Jambo jamaa.,
Wenzenu tumeshindwa hata kushangaa acha kuitafsiri hii familia.
Ni hivi ,
Kama ilivyo kawaida ya huku kwetu ,biashara kubwa ni utalii kiujumla,uwe na vinyago,hoteli,spa ,na...
Habari wadau nimependa kutoa mada hii kwenu nipate walau comments zenu uko kwenye ndoa then mwenzi wako anakuhitaji mmnaanza maandalizi kabla ya kuingia mchezoni mwenzio anabadilika gafla...
Habari zenu kwanza
Naomba kuwauliza kitu,
Ishawahi kuwatokea hii hali ambayo imekuwa ikinitatiza?
Nimekuwa najikuta naejaculate (natoa manii) wakati wa kumalizia kukojoa na wakati mwingine...
Ndie mtajwa hapo juu nahitaji rafiki tutakaekuwa tukichati na kushare nae music pamoja ,musics ambayo ni very unique na adimu kw masikioni mwa jamii ya sasa,huwa sipendi kusikiliza music...
Wadau habari za weekend
Nikienda straight kwenye mada ni kua nimekaa muda mrefu kidogo bila kua na mahusiano yanayoeleweka so kama ni game nilikua napata mechi zakirafiki ambazo kwa kawaida hua...
Heeeeellloo everyone! Mostly men mambo zenu.!!
As a woman here nasimamia msimamo wangu kitandani, if you won't suck my tunda no kwichikwichi, no head no game.,So mjifunze kupiga deki mabebe...
Habari wadau nimependa kutoa mada hii kwenu nipate walau comments zenu uko kwenye ndoa then mwenzi wako anakuhitaji mmnaanza maandalizi kabla ya kuingia mchezoni mwenzio anabadilika gafla...
Wakuu salaam!
Leo ndio mara yangu ya kwanza kupost katika jukwa hili pendwa.
Sipendi sana kuanzisha thread huku ila leo sina namna, kuna jambo lilinikwaza mchana, nikaona sio vyema ninyamaze tu...
Mwanamke akikupenda anakuwa na furaha,anakuwa anajivunia kuwa na wewe, na hujihisifuraha kuongea na wewe.Hupenda awe rafiki wa rafiki zako na nduguzako, uvipendavyo na yeye atavipenda...
Hakuna awali mbovu.nimeamini maneno haya ya wahenga.hii ni true story imenitokea.Kabla sijatoka na huyu mwanaume niliye zaa naye kababy boy,nilikuwa kwenye mahusiano mazuri ,matamu na strong...
WASH'KAJI EEEEEEEH!
HIVI HAPA MIYE NITAFUTE SULUHISHO GANI??
____
HUKU KITAA CHA MAPINGA,
NJIA PANDA YA VIKAWE,
KARIBU NA HILI DUKA KUBWA LA HARDWARE,
KABLA HUJAVUKA HAPA KWENYE KIWANDA KIDOGO...