Murete
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 246
- 102
Habari zenu wapendwa wa MMU.
Kuna swala linanitatiza kuhusu kurudiana na X. Hii ni kwa wote
Hivii, inakuwaje mtu unamuacha mpenzi wako unaoa/olewa mtu mwingine halafu eti baada ya muda unarudi kwa X kuomba game. Huwa hamjisikii hata vibaya? Nini kinawasukuma kurudi mlipoacha? Na tena mkirudi mna story za kuhuzunisha kweli. Yaani ni majuto fulu! Ni kipi kinakushinda kuanza upya uhusiano na mtu mwingine mpaka urudi kwa X?