Double square
Member
- Feb 15, 2016
- 58
- 16
Habari wadau nimependa kutoa mada hii kwenu nipate walau comments zenu uko kwenye ndoa then mwenzi wako anakuhitaji mmnaanza maandalizi kabla ya kuingia mchezoni mwenzio anabadilika gafla anakasirika na kugeukia upande mwingine sababu unacheleweshea je maandalizi siyo muhimu wadau??? Maoni yenu