Kwanini watanzania hasa wa Dar es Salaam, mnasapoti mashoga?

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,925
13,263
Wakuu salaam!
Leo ndio mara yangu ya kwanza kupost katika jukwa hili pendwa.
Sipendi sana kuanzisha thread huku ila leo sina namna, kuna jambo lilinikwaza mchana, nikaona sio vyema ninyamaze tu. Kwa maslahi ya TANZANIA ya sasa na ile ijayo sina budi kuweka wazi suala hili.
Huwa sina mazoea sana ya kupita INSTAGRAM, ila lla leo nikapita mida fulani ya mchana, bahati mbaya au nzuri nikakutana na balaa fulani, kuna kijana aliyejitanabaisha kuwa yeye ni shoga na jina analoitumia huko kwenye mtandao wa INSTAGRAM ni @James_Delicious huyu kijana anasema kuwa ana miaka 22, na mambo ya ushoga alianza miaka ya 2012.
Cha kushangaza katika wale waliokuwa wanacomment hakuna hata mmoja aliyekuwa anamkemea au kuonyesha kuwa tabia hizi ni mbaya kwa jamii hii.

IMG-20160419-WA0004 - Copy.jpg
View attachment 343646
IMG-20160419-WA0004 - Copy.jpg
IMG-20160429-WA0006.jpg
IMG-20160429-WA0002.jpg
IMG-20160429-WA0000.jpg
IMG-20160429-WA0004.jpg
View attachment 343646
IMG-20160419-WA0004 - Copy.jpg
IMG-20160429-WA0006.jpg
IMG-20160429-WA0002.jpg
IMG-20160429-WA0000.jpg
IMG-20160429-WA0004.jpg
View attachment 343646
 
Daah,hii dunia hii...yaani hapo huyo dogo ndugu,jamaa na marafiki zake woote wanamwona anavyojitangaza na picha juu.

Kuhusu Dsm kusupport ushoga silisemei sana ila kwa ujumla TAIFA halijawahi kuonesha msimamo thabiti ya kukemea na kulipinga suala hilo.

Kwa Afrika ya Mashariki ni rais wa UGANDA pekee ndiye aliyeonesha na kutangaza rasmi jukwaani na zaidi kuwahukumu vikali mashoga wote katika nchi yake bila kujali kuwa atakosa misaada kutoka nchi zilizoendelea.

Rais mwingine aliyepinga vikali ni Mugabe wa Zimbabwe.

Watoto wa kiume wa Tz wako katika hatari kubwa sana sikuhizi.
 
Daah,hii dunia hii...yaani hapo huyo dogo ndugu,jamaa na marafiki zake woote wanamwona anavyojitangaza na picha juu.

Kuhusu Dsm kusupport ushoga silisemei sana ila kwa ujumla TAIFA halijawahi kuonesha msimamo thabiti ya kukemea na kulipinga suala hilo.

Kwa Afrika ya Mashariki ni rais wa UGANDA pekee ndiye aliyeonesha na kutangaza rasmi jukwaani na zaidi kuwahukumu vikali mashoga wote katika nchi yake bila kujali kuwa atakosa misaada kutoka nchi zilizoendelea.

Rais mwingine aliyepinga vikali ni Mugabe wa Zimbabwe.

Watoto wa kiume wa Tz wako katika hatari kubwa sana sikuhizi.
Mh! Real devil is a lier.Lord have mercy on us!
 
Mkuu ni kweli,sitaki kabisa kuwasikia hawa viumbe japo wameumbwa na Mwenyenzi Mungu. Kuhusu comments za Instagram inawezekana akawa anakemewa vikali tu lakini kwa kuwa ni ukurasa wake,Ana uwezo wa kuziondoa zile ambazo zinamgubudhi na kuacha zile zinazompendeza.,
 
Yaan uki angalia ma sista umo ndo wana msaport,

Wakat ni kweli hao watu wapo kwenye jamii yetu,na hilo hatuwezi pinga ukweli kuwa wapo, sion haja ya kuwapa publicity na kuwafanya wtt wetu wakue wakidhani kuwa ukichagua kuwa shoga ni njia sahihi ya maisha kama njia nyinginezo. Na sku hizi publicity wana ipata kweli kweli. Hapo ndo tuna haribu sasa
 
Kweli mtu wa hivyo c wa kumuhukumu moja kwa moja kikubwa ni kukaa nae na kumweleza madhara ya hiyo tabia saa ingine hapendi ila alilazimishwa au kubakwa kisha akashazoea kisaikolojia.hivyo ni vyema akapelekwa apatiwe Ushauri na amrudie mungu kuliko kuzid kumuombea aendelez hako kamchezo
 
Machoko hawajifili! Mabasha zao wako wapi?
Huwezi kutokomeza Rushwa kwa kumuandama anaepokea peke yake!
Mara nyingi vijana wengi wanaharibiwa na Mabasha wanaowarubuni na pengine tukianza kuwaandama machoko wao wanajiweka kando!
Tukianzisha kampeni ya Kuwaandama Mabasha naamini itasaidia sana kuwaokoa kwanza vijana wadogo wanaovurugwa!
 
Machoko hawajifili! Mabasha zao wako wapi?
Huwezi kutokomeza Rushwa kwa kumuandama anaepokea peke yake!
Mara nyingi vijana wengi wanaharibiwa na Mabasha wanaowarubuni na pengine tukianza kuwaandama machoko wao wanajiweka kando!
Tukianzisha kampeni ya Kuwaandama Mabasha naamini itasaidia sana kuwaokoa kwanza vijana wadogo wanaovurugwa!
Mkuu lakini ni lini ulisikia mabasha wakijitangaza hivi, wakaacha kukemewa? Tabia hii ni chafu mno, tuungane kuitokomeza, tusiwaache mashoga wajitambe wazi wazi hivi!
 
Hii tabia ya kulenga wanaume wa dar inanikera sana.Hivi Instagram iko dar tu pekee.!!! ,Msipende kugeneralise mambo,,,Ushoga ni aibu na ugonjwa wa nafsi ulio kila mkoa,,sio dar tu,,,tena wengi wa hao wagonjwa wa akili dar wamekuja kwa kutokea mikoani,,,si wazawa.Kwa hiyo kila mmoja ana jukumu la kuhakikisha kuanzia ngazi ya family upumbavu huu haupati promo ila uwe discouraged.Sio kutukana wanaume wa dar as if mnawajua wote.
 
kwanza huyo james ni mvulana wa mkoa, amekuja dar na uchoko wake tayari. afu kuna mwengine nae anajiita dida mtamu, Mtoto wa mama, duller square hawa wanapaswa kushtakiwa mana wanapromote ushoga hadharani kwa caption za kiswahili kabisa!!!
 
Wanaume Hata Hawajisumbui Kucomment.
Maana Its Disgusting.
Pia Hao Wanawake Wanaocomment Kumpenda Umeangalia Location Zao Wote Ukaona Ni Wakazi Wa Dar?
Acha Kuwa Biased,Dar Hawawezi Kukosekana Bcoz Ndo Jiji Linaloongoza Kwa Maraha Tanzania Hii,Mbona Wapo Wengi Wanatoka Mikoani Kuja Dar,Au Huwajui Au Huwafuatilii.
Ninachoweza Kusema Kuhusu Dar Atleast Kuhusianisha Na Point Yako Ni Kwamba Most People Here Are Strangers,So Kila Mtu Anamind Own Bussiness. Kwaiyo Mie Natokea Zangu Makete Huko Siwezi Leo Out Of Nowhere Nikaanza Kumkana Mtu Mzima Mwenye Maamuzi Yake Alietokea Mwanza Huko.
Siwapendi Mashoga Sana. Ila Statement Yako Inakwaza.
 
Waafrika ni WANAFIKI sana tena sana! Binafsi ingawaje siungi mkono ushoga but ushoga ni least of my concern! Ni least of my concern coz' Africa including Tanzania tuna serious problems ambazo moja kwa moja zinaathiri jamii mzima at large but we care them less huku homesexuality ambayo ni more personal or family shame ikionekana ndo big problem!!

The way we hate and curse gays ingekuwa ndivyo tunavyowachukia mafisadi basi nchi hii na Afrika kwa ujumla tungekuwa mbali sana!

Thanks God, we've no gay or even lesbian in our family at large and I hope things will go this way at least throughout my entire life! Sasa eti leo niwe very concerned na kutoka mapovu dhidi ya shoga, say wa Kimara ambae cmjui babake wala ndugu yake yeyote... tena sifahamu hata origin yake ni wapi; come on man that's is least of my concern especially kv nafahamu kuna real Monsters outta there wanaoleta direct and serious damage to the society at large, sometimes even causing bloodshed lakini ni hao hao ndio tunakesha tukiwapamba kwa mashada ya maua!!
 
Back
Top Bottom