Hakuna awali mbovu.nimeamini maneno haya ya wahenga.hii ni true story imenitokea.Kabla sijatoka na huyu mwanaume niliye zaa naye kababy boy,nilikuwa kwenye mahusiano mazuri ,matamu na strong sana.the man was so sweet and loving and he still is.
Ila tulikuja tofautiana kwenye ishu ya kupata mtoto.Ilifika wakati nikatamani kuzaa nami kuitwa mama,kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake,basi nilivunja mahusiano.
Na haukupita muda mrefu nikakutana na kijana wa rika langu,kwani mpenzi wangu wa mwanzo alinizidi miaka kama 7 hivi,tukaanza mahusiano na huyu baby daddy baada ya kumake sure tuko sawa kiafya,kutahamaki mimba hiyo.kwakuwa lengo langu kubwa ni mtoto nilifurahi sana,nikailea mimba hadi kuzaa salama salimini kwa uweza wa rabana.
Baadaye baby dady alibadilika flani hivi,hadi kupelekea kutokuwa akitoa matunzo ya mwanae.Baada ya kupata mtoto,nikasema my boy first then mie ndo nitafuata.so hata zile purukushan na baba wa mwanangu ilikuwa katika kuhakikisha mwanangu anapata mapenzi ya baba na mama no matter what is happening between us as parents.
Ila baba wa mtoto sikuwahi mfeel kihivyo,nililazimika kukubali matokeo baada ya ujauzito hadi kupata mtoto.nilijitahid kucompromise for the sake of my son.even kumruhusu yeye kumwona mwanaye it's for my boy and not me.
Bwana weeh milima haikutani binadamu hukutana.nimekutana na mpenzi wa zamani,nilipomwona moyo ulinilipuka kwa furaha.Ambayo sikuwa nayo kwa muda mrefu kweli.ajabu anajua nina mtoto kabla ya hata ya mie kumweleza.Amefurahi kuona nina mtoto.In short penzi limeanza upya.
Niliporudiana naye nikamtafuta baby daddy,tukakutana katika mgahawa flan mjin mida ya mchana,nikamwambia inabidi tupange namna nzuri ya yeye kuwa anamwona mwanaye.akauliza why,nikamwambia ni kwa ajili ya mtoto.tumekubalina atakuwa anamwona mwanaye twice a month,sehemu ya wazi kama mentor alivyo suggest.(Thanks mentor for the pointers)
So inawezekana jamani,stop all this negative perception kuhusu,coparenting and single parenting.ni suala la arrangement tu.ingawa hadi sasa sijamweleza kuhusu mie kurudia na ex wangu,kwani haimuhusu.
Nb:kuna watu walinijia pm wakanambia nisiexpose life yangu Jf kihivyo,naomba niwaambie tu wengine tuna very demanding and serious job,hupati hata muda wa kusogoa.tunapoandika somehow tunarelease tension,stress n.k.
Na kupata mawazo positive on how to deal with situations.tukisema tukae nayo tu it's not ok.nobody wants to die with stress yooh.