Raha ya tendo husika

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Wanajamvi mupooooooooo!

Najisikia kuwashirikisha jambo but sorry kwa wenye mapepo ya kukwazika wapite mbaliiii.

Raha ya tendo la ndoa ufanye na.....

1. unayempenda,

2.tena u nae mfeel,

3.Aliyesumbuka kukupata.

4.Anayejua shughuli husika,

5.Anayejali hisia zako,

6.Anaekuthamini,

7.Asie mbinafsi,

8. msafi
.....
Waweza ongeza nawewe..
 
Nimeanza tangu nilipokuwa mwaka wa pili chuoni
Ko kipindi chote hicho hukuzoea kuloweshwa na naniliuu za moto? au ndo kusema zao zilikuwa za baridi?
Ole wako siku ukutane na mnywa viroba, zao huwa za moto kwelikweli kama uji wa rami!
 
Namba tatu mbona wewe imekushinda? Miezi 4 jamaa kamaliza kila kitu, hajasumbuka hata kidogo.
Alafu inakuaje atoto simuoni ktk uzi zako? Ishu hizi hapitwagi. Una uhusiano nae?
 
Namba tatu mbona wewe imekushinda? Miezi 4 jamaa kamaliza kila kitu, hajasumbuka hata kidogo.
Alafu inakuaje atoto simuoni ktk uzi zako? Ishu hizi hapitwagi. Una uhusiano nae?
Miezi minne ni muda mdogo?, sina uhusiano nae wwte
 
Wanajamvi mupooooooooo!

Najisikia kuwashirikisha jambo but sorry kwa wenye mapepo ya kukwazika wapite mbaliiii.

Raha ya tendo la ndoa ufanye na.....

1. unayempenda,

2.tena u nae mfeel,

3.Aliyesumbuka kukupata.

4.Anayejua shughuli husika,

5.Anayejali hisia zako,

6.Anaekuthamini,

7.Asie mbinafsi,

8. msafi
.....
Waweza ongeza nawewe..
Sasa wewe, mume wako umempata hapa JF, hajasumbuka kukupata (kama ulivyosema #3), unafurahi vp tendo la kuzini.

Mara nyingi naona kama unaandika mambo usiyoyajua, au ilimradi na wewe ulete uzi.

Mtu moungo, huwa hakumbuki alichosema sekunde 5 nyuma, ni kama wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom