Hivi huu mchezo unahitaji hasira

Double square

Member
Feb 15, 2016
58
16
Habari wadau nimependa kutoa mada hii kwenu nipate walau comments zenu uko kwenye ndoa then mwenzi wako anakuhitaji mmnaanza maandalizi kabla ya kuingia mchezoni mwenzio anabadilika gafla anakasirika na kugeukia upande mwingine sababu unacheleweshea.
Je maandalizi siyo muhimu wadau??? Maoni yenu
 
Haina fomula inategemea na mtu wako tu hii mambo.
Kama mtu wako anapata hashki haraka na ww pia nenda nae hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom