Pitia hapa

SPSS

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
711
388
Wadau habari za weekend
Nikienda straight kwenye mada ni kua nimekaa muda mrefu kidogo bila kua na mahusiano yanayoeleweka so kama ni game nilikua napata mechi zakirafiki ambazo kwa kawaida hua napiga bao moja na nikiamua kutafta lapili basi ntaishia njian maana naweza kugegeda mpk mdd anitoe kwamba either amechoka au nimemchubua anaumia.

Mwanzon mwaka huu nikabahatika kumpata binti ambae tunafamiana muda mrefu(tulisoma ote secondary ingawa alikua nyuma yangu mwaka mmoja) tukaanzisha mahusiano ambapo tupo mikoa tofaut,tumekaa miezi kadhaa tukiwa tunawasiliana na hatimae nimeenda alipo ambapo pamoja na mambo mengine lakini kubwa likiwa kugegedana.

Sasa chakushangaza nikua tatizo limeendelea,nilidhan ilikua inanitokea vile kwa sababu ni mechi za ugenini nakwakua sikua na hisia zakutosha kwa subjects ila nashangaa mpaka kwa uyu msichana ambae kwanza anavutia nakwa kwel na hauwez kuchoka kuomba gemu

Leo nisiku ya tatu sijapata chapili hua naishia njian maana namsugua mpk namhurumia na anaishia kulalamika namuumiza.Embu wadau tushirikiane kwenye hili nn hasa ni tatzo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom