bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 453
Habari zenu kwanza
Naomba kuwauliza kitu,
Ishawahi kuwatokea hii hali ambayo imekuwa ikinitatiza?
Nimekuwa najikuta naejaculate (natoa manii) wakati wa kumalizia kukojoa na wakati mwingine wakati wa haja kubwa.
Is it a problem or ni uzalishaji wa Mbegu umeongezeka.
Coz sijaona mabadiliko yoyote hata kwenye game, na nilijaribu kumtafta Dk. Wa magonjwa ya zinaa akasema ni jambo la kawaida.
Ebu tupeane uzoefu, sijamwamini sana.