chugara chalara
Member
- Sep 2, 2014
- 78
- 4
Ndie mtajwa hapo juu nahitaji rafiki tutakaekuwa tukichati na kushare nae music pamoja ,musics ambayo ni very unique na adimu kw masikioni mwa jamii ya sasa,huwa sipendi kusikiliza music iliozoeleka masikioni mwa watu, sipendi songi ambae nikitizama TV channels naikuta, au nikitembea nasikia ikipigwa masaloon ama kwenye matree/daladala, mi naona up coming artist wa sasa hivi hawana uwezo ya kusatisfy my mood ama kiu yangu in music, I blv music ni dawa, faraja na kitu inayokufanya ufeel tofaut yan,mara nyingi mawazo huwa yaende mbaali sana, inakufanya unaforget all the pain and u dance,,so I'm looking for a friend, a real one ambae ni adimu kumpata mwenye kiu na ideal sawa na nilichokieleza hapo juu, sifa zako uwe creativity, positive thinking and charming, I don't like any swagg na mtu wa kuact act mambo,ushabiki wa magari or whatever u have,. Nahitaji tukumbushane mambo kupitia kushare lyrical music through social networks . Kwa maana hiyo napenda kushare Riddims, raggae dance hall adimu Venezuela and Latino songs, acient American songs cow Boi songs and others of that kind , haijalishi unafanya kazi gani or umri or jinsia kama unapenda nachopenda please uwe my best friend, mawasiliano angu ni Email:danfordzacharia@gmail.com
WhatsApp 0654635119
WhatsApp 0654635119