MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,931
Habari ya mwisho wa mwezi.
Kuna familia nyingi nimeziona zikihangaika au kumkatia tamaa mzaliwa wa kwanza.Huyu mzaliwa wa kwanza anaishi kama mzaliwa wa mwisho.
Ingawa umri wake ni mkubwa kuliko wadogo zake lakin atapitwa maendeleo na wadogo zake.Wengine hupenda kubaki akiwalea wazazi wengine huwa hawana ramani.Huzalia nyumbani,chanzo cha familia kuyumba labda kuweka rehani nyumba kupata mkopo lakini hushindwa kulipa.Kwa wanaume huwa walevi na mateja kwa mijini.
Wengi huhisi kuwa katolewa kafara kwa ajiri ya wadogo zake(kiimani).
Je ni malezi,imani au mzaliwa wa kwanza huwa hivi?
JF na jamii kwa ujumla kama tuna watoto wa kwanza bado wadogo tuwakunje wangali wabichi.