Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

toka nimeanza kutumia mitandao ya kijamii fb,twitter na jamii forums naonaga watu wanatafuta wachumba. SWALI: hv ni kweli kuna m2 ameshawahi kumpata na wakakaa nae zaid ya miaka 5 kama yupo aseme .
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Kwanza nikiri wazi kuwa mada ya "Ulishawahi kujutia mchepuko?" ndo imenikumbusha hii habari ya huyu bwana nikaona nishee nanyi pengine kuna kitu cha kujifunza. Ni mume mwenye mke wa ndoa kabisa...
8 Reactions
86 Replies
8K Views
Mimi ni kijana wa kiume nnaejielewa vzuri tu. Natafuta mchumba awe na umri kuanzia 24-30yrs, elimu kuanzia kidato cha nne, awe mkristo na mkazi wa Dar es salaam. Its seriously wanajamvi tuache...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mabaye nimeoa na nimebahatika kupata watoto wawili na huyo mke wangu. Mimi ni mtu ambaye sipendi kuanika sana mambo yangu na familia yangu hadharani hasa kwenye social media. So hio...
5 Reactions
94 Replies
8K Views
Unaweza kusema unampenda mtu kisha ukamuongoza katika njia zisizofaa? Unaweza kusema unampenda mtu kisha anapokosea unakaa kimya? Unaweza kusema unajali? Je huu ni upendo wa kweli? Wenye upendo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Yani wanawake wa siku hizi kutofautisha fedha (kipato) na mapenzi ni ngumu sana, tena sana kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.Hata ukimkuta analia akiwa amemwagwa kilio chake kina mengi...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Maneno hayo hata yangetoka kwa Adam na Hawa, nimesema simtaki tena! Kweku ni kijana mtaalamu wa mambo ya IT, anafanya kazi na mashirika ya kigeni, kazi yake ni ya kusafiri sana, mara nyingi...
10 Reactions
153 Replies
18K Views
Wangaluka wosee, Leo nimekumbuka pacha wangu, tulizaliwa pamoja, kwa maana ya kwamba tulikaa ndani ya tumbo la mama kwa miezi 9. Haikuwa mipango ya Mungu pacha wangu tulitengwa nawe nikiwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
“Una matatizo ya kiafya…”, “wewe ni mbinafsi”, “utaishia pabaya” n.k, haya ni baadhi ya maneno na tabiri ambazo wamekua wakizipokea watu woote ambao wameshadhihirisha kwenye jamii kua wao kamwe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yule aliye tayari au ana dada yake au jirani yake au anamfahamu tu basi aje pm kwa mazungumzo zaidi. Asanteni
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwanamke mmoja katika muungano wa milki za kiarabu amepigwa faini nakurudishwa kwao baada ya kupatikana akiingia katika faragha ya mumewe. Vyombo vya habari vinasema kuwa mwanamke huyo alichukua...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Nina miaka 25, nahitaji mwanaume(sio wa Dar). Awe na miaka 27_32. Asiwe cheusi mangala, aliye tayari anipm Nb. AWE TAYARI KUPIMA AFYA(HIV/AIDS) na magonjwa mengine
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari zenu wana MMU bila shaka hamjambo, Mimi ni mume wa mke mmoja lakini pia sisi tulizaliwa wawili (pacha) wote wakiume, baada ya kutokea matatizo ya kufiwa na wazazi wetu tukiwa na miaka 14...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
From Madiba land
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Huwa nasikia mara nyingi watu wakisema na hata kuimba ni nini. Msisitizo umekuwa kuweka vigezo vya kijumla kwa mwanamke, sijaona kukiwa na msisitizo wa vigezo vya jumla kwa wanaume. Ninajua kila...
3 Reactions
132 Replies
35K Views
Nimeamua kumuombea mdogo wangu ushauri humu kwa sababu id anayotumia humu ni halisi hivyo hataki kujiexpose. Iko hivi; "Nina mpenzi wangu ni mchaga kwa kabila anasoma chuo(udaktari). Huyu binti...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwanamke ni nani? (sio msichana tafadhali) Mwanamke ni binadamu wa pili kuundwa na Mungu kutokana na ubavu wa Adamu. Mwanamke ni yule ambae huijua thamani yake angali bado mdogo aitha kwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za mchana, Nimezaa na kijana mmoja ambaye alinitelekeza toka niko mjamzito.Nilimove on na maisha yangu nikalea mimba haadi mtoto akazaliwa,hajawahi hudumia huyu mtoto tangu mimba hadi leo...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Huyu mama ni mtanzania anaishi London wengi tulimzoea kama aunt, alikwenda miaka ya 70 na mume wake kimasomo lakini baada ya hapo wazungu walimpa baba kazi. Wamelea vijana wengi wanaokwenda...
18 Reactions
61 Replies
6K Views
Baada ya kuishi kwa miaka miwili na mtoto wa watu(girl)nimegunfua anacheka,usjauri wenu
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…