Naandika huu uzi kwa hisia ni mkasa uliomtokea huyu dada wiki Jana.
Ilikua ni siku ya jumatano akamwomba Boss wake ruhusa ya siku mbili yaani Alhamisi na Ijumaa. Lengo ni kwenda jiji la mwendo...
Hapa kwenye nyumba nilipopanga tupo wapangaji wawili kama kila mtu upande wake .
Miezi miwili iliyopita nilikua likizo kwa hiyo mara kwa mara nilikua nawahi kurudi nyumbani.
Daah mara nyingi...
Siku hizi imekua kawaida tu kwa wanaume kukataa mimba na kama atakubali basi ni kutegeshea tu mtoto azaliwe aone kama wanafana. Mbaya zaidi vyakula vya siku hizi na madawa ya uzazi ndio balaa...
Habarin wapendwa,
Mimi nina rafiki angu wa karibu anamsongo wa mawazo nafikia point namuhurumia. Nimemfaham tangu tunasoma kidato cha tano. Tangu tunafahamiana wote hatukuwahi kuwa na uhusiano...
Alikuwa ni mpenzi ambaye tulidumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Niligundua kanificha mambo mengi muda wote niliokuwa naye. Aliwahi zaa mtoto akafariki, ila mimi alinidanganya kuwa ana mtoto na...
Imefika mahali imenibidi niingie humu huenda nitapata mawazo mbadala ya kunisaidia kuondokana na hilinipo katika ndoa yapata miaka saba sasa.
Lakini hivi karibuni nimeanza kumuwaza sana mpenzi...
Mke wangu kipenzi,
Watu wote wameenda nyumbani kwao , mziki umezimwa, shamrashamra zimeisha. Harusi yetu ilikua nzuri mno ila sasa imepita. Tumemaliza harusi sasa ni muda wa kujenga familia yetu...
1. KUHONGA HUBORESHA MAPENZI:
Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako unamfanya ajihisi kama ni wapekee kwako, atajiona kama ni mmoja wapo kati ya watu wenye thamani kwako na huamini kama kweli upo...
Kudos to all housewives.
hivi mlipimaje pimaje hadi mkafikia huo uamuzi?
nimepima weeee pamegoma kabisa.
kazi za nyumbani zinachosha sana. utachujika fasta! kila siku atakukuta na night dress...
Wadau habari za ujenzi wa Taifa,
Jumatatu nilikwenda kazini kwa mke wangu kuchukua ufunguo wa nyumbani kuna kitu nilisahau nyumbani hivyo niliitaji kukirudia, yeye ndo huwa anawahi kurudi...
Sina mifano mingi ila nimeona kwenye dada za rafiki zangu na majirani. Dada zao wamefanikiwa kwa kupata kazi nzuri sana, cha ajabu wadogo zao wanaishi kama mashetani.
Nyumba zao ziko vilevile...
Lengo kubwa la kuoa/kuolewa ni tendo la ndoa (pigia mstari- tendo la ndoa) mengine mbwembwe tu. Ndiyo maana kidini ndoa hubatilishwa endapo mwanaume ni hanithi ama mwanamke hana tundu linalo...
Imetokea si mara moja mbili au hata kumi, imekuwa ni kama uchawi sasa mwanamke yeyote nitakayetembea naye kama ni mpangaji mwenzangu hamalizi miezi mitatu lazima ahame nyumba kwasababu yeyote ile...
Nani keshawahi kuambiwa hivyo na mtu ambaye anataka kutoka naye?
Nimefanya kautafiti kadogo kasiko rasmi na kugundua kwamba, hususan kwa wadada, kama kuna mkaka kawatokea na kama wao hawamfeel...
Hizi siku tatu hasa kuanzia siku ya Ijumaa nilikuwa mapumzikoni kidogo, baada ya kuchoshwa na kazi ngumu ya kujenga hili Taifa la Tanzania. Sasa nimekuwa nafanya mambo ya kupumzisha akili ikiwemo...
Haya kama kawaida, wale tusiokuwa na viburudisho tushinde hapa.
Kama wewe ni mwanaume una swali lolote kuhusu sisi wanawake uliza
mashost zangu wamewasili tena kutoa majibu.
Ila angalizo...
"Nataka Ramadhan ijayo wewe ndo uwe wa kunipikia futari. tena zuuuri, unaonekana unajua sana"
nikatamani nimuulize jina lake la JF nimtag thread yangu ya I''m too lazy to be a housewife.
hivi...
Mhhhm kama bado mna still struggling to find a husband at an old age...because you're looking for a perfect man, Mhhm I think something is certainly wrong with you...Hivi bado hamjasikia ule msemo...