tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,928
- 15,803
Jamani mimi nadhani mapenzi na warembo wa kitanzania yamenishinda. Nimemtumia mrembo laki moja nzima kwenye M-pesa yake, lakini yeye hata kujishaua tu kusema baby asante ya kinafiki hakuna.
Nimepiga Vodacom huduma kwa wateja nikawadanganya nimeituma kimakosa wanirudishie pesa yangu ila naona imeshindikana.
Hivi warembo wote wa hii nchi wako kama huyu?
Nimepiga Vodacom huduma kwa wateja nikawadanganya nimeituma kimakosa wanirudishie pesa yangu ila naona imeshindikana.
Hivi warembo wote wa hii nchi wako kama huyu?