Unataka kuoa binti wa Kinaijeria? Jipange!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,809
15,417
Mila na desturi za kuoa zinatofautiana kati ya kabila na kabila au taifa na taifa lakini kwa mila na desturi za Kiafrika hatujatofautiana sana ila kama unataka kuoa binti wa Kinaijeria ndugu yangu jipange maana huo mlolongo wa mahitaji ni majanga...

3898188_1_jpeg83b5009e040969ee7b60362ad7426573


Bado list inaendelea.........

3898189_2_jpegea571676ce9b75b0730a5d56350ae93e
 
Ndio maana ndoa hakuna siku hizi tunajisogezaa au tunazaa kwanza ndio ije hiyo ndoa mpaka mkaoe huko nigeria tanzania nzima hakuna wake???
 
Ndio maana ndoa hakuna siku hizi tunajisogezaa au tunazaa kwanza ndio ije hiyo ndoa mpaka mkaoe huko nigeria tanzania nzima hakuna wake???
Tunaenda
mbona kwenu nilipewa masharti kama nakununua
 
Na kwasie tunaotaka kuolewa na vijana wa nigeria je??
Mkuu upo? unajua ile avatar yako ilikukubali kiasi kwamba umenipotea kbs ulivobadilisha, nini rafiki yangu mnaijeria hawana masharti kama unawakubali nikufanyie mpango
 
Kuna wanaume ni masperm donor..Wanakuzalisha zen wanakimbia..Unaweza kuzaa na ndoa usiione
N kweli usemacho japo sikumaanisha wote watakua hivo kuna wale wa kutega mimba bwana amuoe hali n mbaya kwa kweli
 
Hao wametuzidi mbali sana kwa hiyo mahari zao,me nilighairi kuoa kwa kutakiwa kupeleka vitu hivi tu;
Ng'ombe 24
Mbuzi 6
Miwani ya macho 1
Koti la babu 1
Kiko ya tumbaku 1
Blanketi la Bibi& Babu 2
Kibuyu cha Maziwa 1
Asante ya Mama 1.2 M
N.K
Ukiround off kwenye maelfu inakuja Milioni 30+
Nikasema kwa pesa yote hii bora nisioe kabisaa
 
hata wachaga hawaoni ndani ukioa huyo mwanamke hiyo ndude yake inakuwa na asali ndani au ina AC
 
Back
Top Bottom