Mahawara jaribuni kuzingatia vigezo na masharti vya dhambi tunazoshirikiana kuzitenda!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
Muda mwingine tukiwa tunawaacha ( kuwatema ) msiwe mnatulaumu kwani ni uzembe wenu ndiyo unatusababisha.

Unajua kabisa Mimi ni Mume wa Mtu na nilishakueleza kila kitu na hadi kukupa mwongozo mzuri tu wa jinsi Mimi na Wewe tutakavyokuwa tunatenda " dhambi " zetu lakini bado hamsikii.

Nimekuambia:
1. Usinipigie Simu hadi Mimi nikupigie Wewe kwa makusudi kabisa unanipigia usiku Saa mbili na hata Saa 6 au Saa 8 usiku.
2. Tukionana barabarani kama nikiwa na Mke wangu badilisha njia au kama ni ghafla usinisalimu Wewe ukiniona tu na Mke wangu unanisalimu kwa " mashamsham " ya Kimahaba kabisa.
3. Ukimjua au kuonana na Mke wangu kama umeshamjua basi mpe heshima yake lakini Wewe ukionana na Mke wangu ndiyo unaanza " kumbinulia " domo lako utadhani Ndege aina ya chuchunge anataka kujisaidia.

Enyi Mahawara zetu kama mmekubaliana na sheria za mchezo basi jitahidi muwe mnazifuata kwani mmeshatukosesha wengine sasa Wake na sasa " kimenuka " huku. Mnataka tuwapendeje? Mnaturoga tunawavumilia na tunawapeni pesa za kutosha hamridhiki je tuwafanyeje?

Leo mmenipandisha kweli hasira na mlivyo na roho mbaya umeshaona " umelikoroga " kwa Mke wangu sasa unataka uhamie leo leo. Nikimpata Mganga anayetoa dawa ya kuchukiwa au kukimbiwa na Mahawara nitainunua kwa gharama yoyote kwani imeshakuwa taabu sasa!
 
Hahaha hawa bwana ata uwape masharti gani...cha msingi mwanawane wewe chapa tuu hamna jinsi...mke akijua nae asizingue...wewe tuoana wakati wote sio mabikra...nilishaonja papuchi mia huko eti cheti tuu ndio ghafla kimenibadilisha kuwa mtu wa papuchi moja tuu...loh!!! tusijipe matumaini yasio kuwepo
 
Hahahahaha
Asante,yaani sasa hivi naambulia LIKE,LIKE,LIKE...............hamna zaidi mamii,na kosa nililofanya,ni pale mwanzo niliposema kuwa napata only LIKE,LIKE,LIKE......baasi ukajua kwamba imeni hit,sasa unazidisha kunikomoaaaa,sawa basi mamii wewe endelea kunitilia chumvi kwenye kidonda.
 
Muda mwingine tukiwa tunawaacha ( kuwatema ) msiwe mnatulaumu kwani ni uzembe wenu ndiyo unatusababisha.

Unajua kabisa Mimi ni Mume wa Mtu na nilishakueleza kila kitu na hadi kukupa mwongozo mzuri tu wa jinsi Mimi na Wewe tutakavyokuwa tunatenda " dhambi " zetu lakini bado hamsikii.

Nimekuambia:
1. Usinipigie Simu hadi Mimi nikupigie Wewe kwa makusudi kabisa unanipigia usiku Saa mbili na hata Saa 6 au Saa 8 usiku.
2. Tukionana barabarani kama nikiwa na Mke wangu badilisha njia au kama ni ghafla usinisalimu Wewe ukiniona tu na Mke wangu unanisalimu kwa " mashamsham " ya Kimahaba kabisa.
3. Ukimjua au kuonana na Mke wangu kama umeshamjua basi mpe heshima yake lakini Wewe ukionana na Mke wangu ndiyo unaanza " kumbinulia " domo lako utadhani Ndege aina ya chuchunge anataka kujisaidia.

Enyi Mahawara zetu kama mmekubaliana na sheria za mchezo basi jitahidi muwe mnazifuata kwani mmeshatukosesha wengine sasa Wake na sasa " kimenuka " huku. Mnataka tuwapendeje? Mnaturoga tunawavumilia na tunawapeni pesa za kutosha hamridhiki je tuwafanyeje?

Leo mmenipandisha kweli hasira na mlivyo na roho mbaya umeshaona " umelikoroga " kwa Mke wangu sasa unataka uhamie leo leo. Nikimpata Mganga anayetoa dawa ya kuchukiwa au kukimbiwa na Mahawara nitainunua kwa gharama yoyote kwani imeshakuwa taabu sasa!
Mkuu hao siku hizi tunawapa namba mbadala ikifika usiku haipatikani wanajisahau sana
 
Back
Top Bottom