GOLDGREEN9
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 351
- 218
Usipotumia mind katika mapenzi utaona dunia ni chungu.Mapenzi yanaweza kukuendesha kufanya na kufanya mambo usiyoyatarajia.Ikumbukwe kuwa mapenzi yanaspiritual power yake ambayo hutofautisha kati ya body will na love will.Love will ipo spiritually na si kimwili, nguvu za kiroho za mapezi zikizidi nguvu za mwili ndipo nguvu za mapenzi zinaanza kuuendesha mwili na mtu wa aina hii huwa chizi katika mapenzi.Hivyo tunatakiwa kubalance nguvu za mapenzi na mwili ili tufanye mapenzi kwa tija na kujenga familia bora.