Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,232
- 1,196
Poleni sana wandugu humu ,pole nyingi hasa kwa kaka Mentor kwasababu ambazo alizieleza yy mwenyewe ila muone Deception au Mzizi mkavu atakupa maelezo mazuri.
Nisiwe muoneaji sana ngoja niende kwenye mada. mnamo mwaka 2009 nilimpenda bint mmoja hv kama chotara aliyechanganya mnyaturu kwa afcast, nilimpenda sana na niliamua kurusha ndoano kwa bint ila jibu alilonipa aliniambi usijali subiri nitakupa jibu, mwezi wa kwanza uliisha nikiwa namshumbua na jibu ni lilelile subiri wakati huwo tunawasiliana kawaida tu, ilifika mwezi watatu ananiambia subiri ntakupa jibu usiwe na haraka, wakati huo ananiita majina yote ila kwenye majibu ananiambia nitakujibu ,nilimwambia kuniita majina yakimapenzi wakati ujanipa jibu lakuniweka open na ww sidhani kama nakuwa nakuelewa, baada ya miezi hiyo mitatu, kiukweli moyo wangu ulipoa upendo kwa uyo bint ulipoa na nikawa sina mzuka nae tena nikampigia cm nakumwambia sihitaji tena majibu.
Kweli nilianza kuwaza mambo yangu mengine nakumtoa moyoni naakilini, niliama mkoa kikazi ,nilipofika huko bint alianza kunipigia simu baada kama ya mwezi hv sababu hata mawasiliano nilipunguza ,alianza kunipigia cm kusema ananipenda sana na amekubali kuwa na mm, kiukweli nilimjibu kuwa sina ham nae tena yani moyo wangu haupo tena kwake na kwamba nikimkubalia ntakuwa namdanganya bure, bint hakuelewa aliendelea kunisumbua na sms na cm zale za kimapenzi nilianza kuchukia akinitumia sms nakuandika majina yakimapenza kana kwamba mm mpenzi wake nilimuonya sitaki ,ikawa nikimwambia hvyo, ataanza kunitumia sms akiweka neno kaka ,au mpendwa ,ikiisha week anaanza tena majina yake hayo.
Nilipofika huko nilipata mtu mwingine prezenta flani wa redio flani, tulipendana sana ,kwakufupisha ili nisiwachoshe ,binti huyu niliyempiga marufuku na sms zake alizidisha mara mbili zaidi hadi kupelekea kuhatarisha mahusiano yangu na prezenta, nilibadili namba ya simu ,ila muda anilianza tea kupata sms zilezile kiasi siku jua namba katoa wapi, prezenta alichukua namba bila mm kujua nakumpigia x au nimwite Audience nilipata taarifa kwamba amemwambia prezenta yy anafahamika kwetu na nimeshamtolea mahari ,kiukweli jambo ambalo si lakweli,
Prezenta alikuja kunieleza na nikamwambia si kweli na pia hafahamu hata kwetu na hakuna amjuaye ,prezenta alikubali shingo upande ila hatukuchukua muda tuliachana sababu alikuwa akihisi mm nikisafiri kuja kusalimia wazazi anaisi nakutana na yule x(audience ) kitu ambacho si kweli ,niliumia sana kuachana na mtu kisa uongo wa mtu mwingine ,nilimshambulia sana huyu dada x sababu zakunifuatilia mpka kuniharibia mambo yangu, kweli nikaapa nikionana nae ntafanya kitu mbaya alinitukana sana nikamjibu tu asante. Niliendelea na maisha yangu huku audience akindelea kunitumia ma sms yake ,mpka ninavyoongea sasa hv mwaka huu 2016 toka 2009 bint huyu ajachoka kunifatilia ,na nimeshamwambia mm kuwa na ww ni ngumu maana sina upendo ule wa awali na nikikubali ntakuchezea tu af nkuache na mm staki ,ww baki kuwa rafiki yangu, cha ajabu na chakushangaza ,amekuja kutafuta kwetu mpka amepapata sijui amepajuaje ,kaanza kujenga urafiki na mama ,kila week enda naambiwa kafika nyumbani kaleta mapochopocho ,juzi kanipigia ananiambia naomba kuonana na ww nikamwambia sitaweza na mara nyingi akipiga cm huwa sipo kei ,katika simu kumi napokeaga 2 ,na kusema kweli kwa sasa nina mchumba ambaye kwao nafaahamika na nyumbani wanamjua japo hawajamuona ,na bint huyu nimeshamueleza kuwa nina mtu na nikamdanganya kumwambia nina mtu na sasa ni mja mzito ,ila bint ananiambia sawa sikatai ila nakupenda.
Nimemweleza atafute mtu aolewe umri unakwenda ataki kuelewa anasema mm ndio mume wake mwingine awezi, kiukweli huwa namwonea imani ila ndio hvyo sina namna na upendo aupo kwake
Samahanini kwakuwachosha ila hayo ndio yanayo nisibu embu naombeni ushauri wenu wadau nifanye nini maana anaweka mategemeo kwangu na nimeshamueleza sitaweza kuwa nae ila aelewi, nimemtumia watu wamueleze ndio kwanza kama wanampigia mbuzi guitar. Naamini ntapata ushauri mzuri wakujinasua hapa maana namuonea imani kujihakikishia angali nimeshamueleza miaka yote hiyo. asanten