Magufuli hula chakula kilichopikwa tu na mkewe

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
160321124514_john_magufuli_pistol_640x360_statehousetanzania_nocredit.jpg

Baada ya kutambuliwa kama mtu mwenye msimamo mkali na asiyependa dhihaka, mabaye huwafuta watu hadharani, huenda sasa Rais wa Tanzania John Magufuli ana maadui wengi.

Sasa akiwa ikulu na kama njia ya kuchukua tahadharia, inaripotiwa kuwa Magufulu hula chakula kilichopikwa tu na mke wake.

Kulingana na gazeti la Financial Times ni kwamba hili limedhihirika kutoka na upinzani anaokumbana nao.

Lakini hilo halijathibitiswa wala gazeti la Financial Times halijasema ni jinsi gani walipata uvumi huo.
bbc swahili
 
sidhani kama ni ukweli kama mke wake yupo safarini kama 1st lady nani atampikia?
 
hapo umechemka kabisa

Kama wewe haujachemsha si ungeandika lililokufaa, pitia kushoto kaishi utakavyo. Unafikiri nina muda wa kukaa na kuchunguza maisha yao...kajipime juu kwanza sio kudandia kusipokuwa na uhakika wa jibu la anafanyaje mkewe labda wa karibu yao ndio aandike.
 
"Akiwa Ikulu". Kwa hiyo ni Ikulu pekee ndiko maadui zake wanaweza kumfikia?

Hebu waitwe hao Financial Times wajielezee. Na pia waeleze hii habari whether ni kweli ama lah, ina uhusiano gani na finance.
 
Back
Top Bottom