Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
160408151500_pope_francis_catholic_304x171_epa_nocredit.jpg

Papa Francis amewataka Wakatoliki Duniani kuwaomba radhi watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kwa madai kuwa si haki kuwahukumu na kuwachukulia kinyume kwani kanisa halina mamlaka ya kuwahukumu.

Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya ndege wakati akirejea kutoka Armenia,Papa Francis kanisa pia linapswa kuwaomba makundi mengine ambayo yametengwa kama vile wanawake,masikini na watoto ambao wapo katika ajira hatarishi. Hata hivyo baadhi ya wakatoliki wenye msimamo mkali wamepinga hatua yake ya kuwazungumzia watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
 
KANISA HALINA MAMLAKA YA KUHUKUMU ILA LINAYO MAMLAKA YA KUSIKILIZA MTU AKITUBU MADHAMBI ALIYO FANYA teh teh teh haya bana. NAONA KAMA HISTORIA MPYA YA ULIMWENGU KARIBIA IMALIZIKE KUANDIKWA NA WAMESHA ANZA KU ITAMBULISHA TARATIBU. time will tell.
 
160408151500_pope_francis_catholic_304x171_epa_nocredit.jpg

Papa Francis amewataka Wakatoliki Duniani kuwaomba radhi watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kwa madai kuwa si haki kuwahukumu na kuwachukulia kinyume kwani kanisa halina mamlaka ya kuwahukumu.

Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya ndege wakati akirejea kutoka Armenia,Papa Francis kanisa pia linapswa kuwaomba makundi mengine ambayo yametengwa kama vile wanawake,masikini na watoto ambao wapo katika ajira hatarishi. Hata hivyo baadhi ya wakatoliki wenye msimamo mkali wamepinga hatua yake ya kuwazungumzia watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
My Pope, hapana, lazima tuwatenge kuwaonyesha kuwa wanachokifanya si kizuri, jamii haikitaki!
 
Ujue wazungu wanaamini sana katika uhuru wa mtu mmoja mmoja na kuishi Kama ambavyo yeye anahisi anaifurahisha nafsi yake... Ndio maana wakati mwingine uhuru unapitiliza na kufanya mambo ambayo (nafikiri) hayampendezi mwenyezi Mungu, but Who Am I to Judge..????? Bado POPE amesimama kwenye misingi ya dini, sisi sio Mungu.... Tumuachie mwenyew ataelewana na wana wake siku ya Hukumu....!!!!!!! Sisapoti mapenzi ya jinsia moja but Who Am I to Judge...????
 
nashauri pia waache kukemea dhambi nyingine ili mungu mwenyewe afanye yake.

TOFAUTISHA KUHUKUMU NA KUKEMEA
 
Ujue wazungu wanaamini sana katika uhuru wa mtu mmoja mmoja na kuishi Kama ambavyo yeye anahisi anaifurahisha nafsi yake... Ndio maana wakati mwingine uhuru unapitiliza na kufanya mambo ambayo (nafikiri) hayampendezi mwenyezi Mungu, but Who Am I to Judge..????? Bado POPE amesimama kwenye misingi ya dini, sisi sio Mungu.... Tumuachie mwenyew ataelewana na wana wake siku ya Hukumu....!!!!!!! Sisapoti mapenzi ya jinsia moja but Who Am I to Judge...????
Well, sasa mbona wanatuungamisha (kuungama kwa wakatoliki) na kutupa adhabu, si wanatuhukumu? Kwa nini wasihukumu na hili la jinsia moja?
 
Ujue wazungu wanaamini sana katika uhuru wa mtu mmoja mmoja na kuishi Kama ambavyo yeye anahisi anaifurahisha nafsi yake... Ndio maana wakati mwingine uhuru unapitiliza na kufanya mambo ambayo (nafikiri) hayampendezi mwenyezi Mungu, but Who Am I to Judge..????? Bado POPE amesimama kwenye misingi ya dini, sisi sio Mungu.... Tumuachie mwenyew ataelewana na wana wake siku ya Hukumu....!!!!!!! Sisapoti mapenzi ya jinsia moja but Who Am I to Judge...????
amesimama kwenye misingi ya kidin kutetea mapenzi ya jinsia moja??au mimi sijaelewa?hivi kuna dini inayo support hii kitu??nieleweshe tafadhal
 
Hata Cameroon alijigamba kuwa katika maendleo yaliyopatikana wakati wa utawala wake ni kuruhusu ndoa za wapendanao wa jinsia moja!! shit!! Hapa na Huyu Mnyama anakuja na hilo!! inabii unazidi kutuimia

Nimekuelewa mkuu, natumaini na wengine wame kuelewa
 
...binadamu tunapenda sana kuhukumu,roho za ubinafsi zimetutawala sana miongoni mwetu!, anayefanya mapenzi ya jinsia moja ndie mwenye dhambi,ila wewe unaetoka nje ya ndoa,unaesema uongo,mshirikina, ndio unanyoosha mdomo kuhukumu wengine!

Eti watu wanashangaa maneno ya papa!, hakika ubinafsi umetumeza.
 
Hamjamuelewa Papa, Binadam hana haki ya kumhukumu binadam mwenzake kwa mambo ya kiroho isipokuwa anahaki ya kumkemea kama anafanya sivyo! Anayehukumu ni Mungu peke yake, sasa kipi kigumu kuelewa hapo?

...be blessed!
 
Back
Top Bottom