Asalaam
Kiukweli maisha ya mapenzi yanamambo mengi sana,huwa sishangai watu kujiua au kuamua kuchukua maamuzi magumu yenye athari za badae.Kifupi,nilikua ni muumini mzuri sana wa mapenzi na nilikua nikiamini ipo siku nitafurahia sana mapenzi,kumbe nilikua sijui yambeleni.
Wakat nikiwa na 24 yrz,alitokea mtoto mzuri niliemuamini kwamba huyu ndie my wife to be,aliniteka sana kiakili kiasi kwamba niliilaza akili yangu kwake kutokana na alivyoniaminisha,kumbe alikua ni msichana wa mshikaji wangu tangu kitambo alinificha,kwakua tulitengena kwa mda na mshikaji wangu sikuwahi kujua,hata hivyo badae ikaja kubainika kuwa yule msichana ni kicheche alietukuka,ametembea na washkaji zangu si chini ya 8,na mkakati wake ulikua kutuunganisha kwenye oradha yake marafiki wote wa uyo mchumba wake,uzuri sikuwai kufanya nae mapenzi coz alikuwa bado masomoni hivyo tulikua tunaonana mida ya likizo tu,nikampiga chini japo iliniuma sana.
Wakati naendelea kuugulia maumivu,nikapata msichana mwingne alieonekana anaweza kuwa faraja wa moyo wangu,tuliishi nae vizuri na kumuamini kiasi cha kumpenda mara 10 zaidi ya yule,kumbe alikuwa anamtu wake anaemuweka mjini,tukagombana sana nikaachana nae,kwenye ichi kipindi niliumia sana kiasi cha kunifanya kua mlevi wa kupindukia,nililewa sana mda huo,niliweza kutumia hadi laki kwa siku bar kwa kunywa pombe sana ili kutoa mawazo.
Ndipo nilipoona kupenda sana ni upuuzi,sasa akili yangu haimuamini mwanamke yeyote,kwa sasa nimekua ni mtu wa kumtamani mwanamke tu kwa ajili ya kufanya nae ngono nikishafanya hamu inakata hapo hapo,tunaishia hapo hapo.
Kifupi nimekuwa nikitembea na wasichana mala moja tu,hata uwe mzuri kiasi gani,nikishafanya nae mala moja iyo ndo jumla,haijalishi ntatumia garama kiasi gani au kupoteza mda kiasi gani kwa huyo msichana,but at the end of the day the mission must acomplish,huwa nawakumbuka sana wasichana wangu walionyesha kunipenda kwa dhati,lakini hawakujua wamezama kwa mbogo aliyejeruhiwa.
Nimetembea na wasichana wengi wa kila aina hapa Tz zaidi ya 80,yote hii kwa sababu ya wapenzi wangu wa mwanzo walivyonitenda,imefika point naanza kuwaonea huruma wapenzi wapya,lakini nifanyaje,imani yangu imekua ndo hiyo,nasimamia nachokiamini,
Ni historia ya maisha yangu
Wasalaam.