Wakuu pokeeni salaam zangu,
Hivi karibuni nimeingia kwenye mahusiano na binti wa hapa mtaani kamaliza kidato cha sita na vile hajaenda jeshi basi nikaona sio mbaya tukiwa pamoja, ukiachia sifa...
Habari wakuu?
Kwa mara nyingine nimekuja kuomba ushauri kwenu,
Ipo hivi nina mwanamke ambaye ninaishi nae kwa muda wa miaka 3 sasa na tumebahatika kupata mtoto 1 mwenye umri wa miezi 9 kwa sasa...
Wakuu jambo sana!
Katika harakati za maisha wengi hukutana na kuchota busara nyingi za wazee wetu juu ya mustakabali mzima wa maisha yetu hususani katika maisha ya mahusiano ya kimapenzi.
Bibi na...
Mwanangu wa kwanza ana mwaka na nusu, hivi juzi mke wangu ameniambia ni mjamzito ila anachokitaka ni ujauzito kutolewa.
Nimejaribu kumuuliza kisa cha yeye kung'ang'ania kutoa ni nini anasema...
Wanaume wengi ambao hujifanya wajinga huwa waerevu daima na wanaume wengi ambao hujifanya wajanja huwa wajinga daima,sababu kuna ukubwa wa mwili na udogo wa akili ,harafu kuna udogo wa mwili na...
Relationships - A New Type Of Loneliness.
Nearly everyone have struggled with loneliness at some point in time; you would be hard-pressed to find anyone who hasn’t suffered at...
KIKWETE ATIA DOA BAADA YA KUSHINDWA KUTOKEA UKUMBINI, DK SHEIN, MWINYI, KARUME, NAHODHA, DK SALIM, WARIOBA, WATINGA
Ramadhan Semtawa
EDWARD Lowassa, ambaye alijiuzulu uwaziri mkuu kutokana na...
Wanaume wengi wanapenda wanawake wazuri wenye mvuto,shape nzuri na mavazi ya kuvutia mbele za watu ila wameshindwa kuwa na jicho la kuwatizama wanawake bora wenye tabia nzuri,haiba ya...
Hakuna maumivu makali duniani kama kuachwa na mpenzi wako au Mume/Mke wako unayempenda kwa moyo wako wote na akili zako zote na hasa akiwa ndio hazina na faraja ya maisha yako.Maumivu ya...
Kwa mazingira yetu ya sasa, yani siamini mwanamke anaweza kukosa mwanaume hadi aje kutafuta(mchumba) humu jf. Ila kwasisi wanaume inawezekana kukosa.
Sababu wanawake sio nature yao kutongoza...
Hivi imekua fashion au?
She is an excellent woman... tall, good looking, sexy, kazi nzuri na sifa nyingine kedekede.........
Tumeshagegedana several times, cha kushangaza sasa jana tu wkt...
Wanaume wengi wanapenda wanawake wazuri wenye mvuto ,shape nzuri na mavazi ya kuvutia mbele za watu ila wameshindwa kuwa na jicho la kuwatizama wanawake bora wenye tabia nzuri,haiba ya...
Habari wana JF,
Kuna kitu kinanitatiza sana hivi kwanini watu wengi wakitukana wanasema ku****yo yaani wanatumia sehemu za siri za wanawake kama tusi kwanini wasitumie sehemu za...
Jana nimemwona BELE9 amepaka ile rangi nyekundu kwenye lips kama wanavyofanya wanawake! Kina dada hebu niambieni hiyo rangi ni ya kazi gani na je inaleta picha nzuri kwa mwanaume kupaka?
Nilizoea...
Uso mkunjufu ni alama ya furaha na amani moyoni,utaonekana mwenye furaha hata nje sababu kilichopo moyoni huonekana usoni,kuna wanawake wengi wenye elimu nzuri na kazi nzuri na Mungu amewapa...
RIWAYA: SIKU YA GRADUATION
MTUNZI: MAUNDU MWINGIZI
SEHEMU YA KWANZA
"Yaani kweli RAMLA Umeamua kunitenda kiasi hiki!!, pamoja na mapenzi yote niliyokupa lakini umeamua kunisaliti!, nimepoteza...