Asu tz
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 336
- 86
Habari wakuu?
Kwa mara nyingine nimekuja kuomba ushauri kwenu,
Ipo hivi nina mwanamke ambaye ninaishi nae kwa muda wa miaka 3 sasa na tumebahatika kupata mtoto 1 mwenye umri wa miezi 9 kwa sasa.
Tatizo linalonisumbua mke wangu hawezi kabisa kuishi na dada wa kazi yaani ni kugombana tu pasipo sababu, mke wangu ni mfanyakazi na mimi pia ninafanya kazi kampuni fulani.Kila siku ni ugomvi tu mpaka nafikia hatua ya kutaka kuachana nae.
Naombeni ushauri wakuu.