God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
...
sijui ni masifa au nini ila kwa kweli sio vyema kabisa unamkuta mdada kavaa nguo ndefu tuu ila tatizo ni transparent zinaonyesha hadi chupi na sehemu nyingine za maungo yao kweli sio vizuri wanaume tunapata wakati mgumu sana kwani nguo zenu zinatuhamasisha kufanya ngone na vitendo vingine vya kichochezi.
ni hali ngumu sana unapokatiza mjini/mtaani/shule/vyuoni/daladala unakutana na haya maafa kwa kweli wanawake mnatumaliza sisi wanaume.
nidhamu ya mavazi ichukue mkondo mavazi yenye kuonyesha sehem za ndani yaachwe pia nguo zinazobana zinaonyesha hadi mistari ya chupi ziachwe nasema tena maana hamna namna. hata hizi fupi zinazoonyesha mapaja na viuno mziache mwanamke vaa vazi kubwa la kufunika na kusitiri mwili wako wote.
inakuhusu nini fanya yako mjini