Tupende toka moyoni

GedsellianTz

GedsellianTz

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Messages
1,288
Likes
1,673
Points
280
GedsellianTz

GedsellianTz

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2016
1,288 1,673 280
Wanaume wengi wanapenda wanawake wazuri wenye mvuto,shape nzuri na mavazi ya kuvutia mbele za watu ila wameshindwa kuwa na jicho la kuwatizama wanawake bora wenye tabia nzuri,haiba ya kike,mapenzi ya dhati,wavumilivu na wenye njaa ya kuitwa mama na mke bora.

Mwanamke bora ana sifa za mke bora sababu anampikia mume wake,anamfulia nguo mume wake,anamnyoshea nguo mume wake,anamshauri mume wake mambo ya msingi,hapendi pesa bali anachangia pesa katika ujenzi wa familia,anajua kulea watoto na mume wake kwa ubora wa hali ya juu na hapo ndipo wanaume huwa na wivu na wanawake hawa.

Wanawake wenye sifa za uzuri wa sura,shape na mvuto mbele za watu wengi wao wana sifa za mahouse girl sababu hawawezi kupika,hawajui kufua nguo,hawawezi muandalia mume wake nguo za kazi wala kumuandalia chakula mume wake na ni mabingwa wa kuomba pesa na tegemezi kwa kila kitu.

Mwanaume mwenye upofu wa mawazo huwa anashindwa tofautisha katika ya mke mwema na mke mzuri,unaweza kuwa mzuri na usiwe bora ila unaweza kuwa bora na ukawa mwema na muadilifu ,kama wewe mwanaume una housegirl anayekupikia ,anakufulia nguo,anakuandalia chakula,anakuadalia maji ya kuoga na kukuheshimu basi jua huyo ana sifa zote za mke mwema ingawa ni house girl.

Kama una mke ambaye hapiki chakula,hawezi fua nguo,hawezi bembeleza mtoto,hana mawazo chanya,na ni tegemezi bila kusahau anatumia muda mwingi kwenye social networks,anapenda kuchati sana na simu na anapenda kushinda saloon jua huyo sio mke ila ni demu na house girl wako ana sifa za mke sababu anafanya majukumu ya mke wako.
 
LUBEDE

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
3,890
Likes
5,313
Points
280
LUBEDE

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
3,890 5,313 280
Wanaume wengi wanapenda wanawake wazuri wenye mvuto ,shape nzuri na mavazi ya kuvutia mbele za watu ila wameshindwa kuwa na jicho la kuwatizama wanawake bora wenye tabia nzuri,haiba ya kike,mapenzi ya dhati,wavumilivu na wenye njaa ya kuitwa mama na mke bora.

Mwanamke bora ana sifa za mke bora sababu anampikia mume wake,anamfulia nguo mume wake,anamnyoshea nguo mume wake,anamshauri mume wake mambo ya msingi,hapendi pesa bali anachangia pesa katika ujenzi wa familia,anajua kulea watoto na mume wake kwa ubora wa hali ya juu na hapo ndipo wanaume huwa na wivu na wanawake hawa.

Wanawake wenye sifa za uzuri wa sura ,shape na mvuto mbele za watu wengi wao wana sifa za mahouse girl sababu hawawezi kupika,hawajui kufua nguo,hawawezi muandalia mume wake nguo za kazi wala kumuandalia chakula mume wake na ni mabingwa wa kuomba pesa na tegemezi kwa kila kitu.

Mwanaume mwenye upofu wa mawazo huwa anashindwa tofautisha katika ya mke mwema na mke mzuri,unaweza kuwa mzuri na usiwe bora ila unaweza kuwa bora na ukawa mwema na muadilifu ,kama wewe mwanaume una housegirl anayekupikia ,anakufulia nguo,anakuandalia chakula,anakuadalia maji ya kuoga na kukuheshimu basi jua huyo ana sifa zote za mke mwema ingawa ni house girl.

Kama una mke ambaye hapiki chakula,hawezi fua nguo,hawezi bembeleza mtoto ,hana mawazo chanya,na ni tegemezi bila kusahau anatumia muda mwingi kwenye social networks,anapenda kuchati sana na simu na anapenda kushinda saloon jua huyo sio mke ila ni demu na house girl wako ana sifa za mke sababu anafanya majukumu ya mke wako.
oookeeey!
tumekuelewa sana..
 
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Messages
16,361
Likes
20,318
Points
280
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2014
16,361 20,318 280
maneno yako sio sheria mwanamke awe mzuri hata siku tukikosa hela kwa uzuri wake tu ni dhamana tutakopesheka
 
GedsellianTz

GedsellianTz

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Messages
1,288
Likes
1,673
Points
280
GedsellianTz

GedsellianTz

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2016
1,288 1,673 280
maneno yako sio sheria mwanamke awe mzuri hata siku tukikosa hela kwa uzuri wake tu ni dhamana tutakopesheka
Unaweza kukopesheka lakini kumbuka uzuri haifui wala haupiki....tabia njema na mwenendo ndo kila kitu
 
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Messages
9,775
Likes
5,737
Points
280
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2014
9,775 5,737 280
Hivi rala uko wap? Rudi bana!
 
Forum statistics

Threads 1,237,828
Members 475,675
Posts 29,302,552