well said,Sababu mtu akikutukania mama yako inauma zaidi kuliko chochote. Katumia hicho kiungo kukupata, umepitia hicho kiungo kuzaliwa, huyo mwenye kiungo kakunyonyesha, kakulea, kakuuguza, kakupeleka shule, kakukuza mpaka ukaoa, ukazaa na wewe. Je mtu akutukanie hilo neno utajisikiaje? Anayefikia kukutukania hilo kama havuti banghi, hajalewa kupindukia, ujue hakulelewa na mama yake au katupwa mtaani na mama yake.
MMMMWWWWaaaaaaaaa.well said,
ungekua karibu yangu ningekupa zawadi ya kiss
MMMMWWWWaaaaaa!MMMMWWWWaaaaaaaaa.