paka chongo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2016
- 248
- 193
Mwanangu wa kwanza ana mwaka na nusu, hivi juzi mke wangu ameniambia ni mjamzito ila anachokitaka ni ujauzito kutolewa.
Nimejaribu kumuuliza kisa cha yeye kung'ang'ania kutoa ni nini anasema itakuwa ni aibu kwa family baada ya kufanya maisha tuna zaa zaa tu ovyo.Na isitoshe nimejifungua kwa opereshen nadhani nitakuwa sijapona vizuri.
Wana JF niko njia panda mawazo yenu ni muhimu sana.