Unaishije na mwanamke asiye na shukrani

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,430
3,531
Wakuu pokeeni salaam zangu,

Hivi karibuni nimeingia kwenye mahusiano na binti wa hapa mtaani kamaliza kidato cha sita na vile hajaenda jeshi basi nikaona sio mbaya tukiwa pamoja, ukiachia sifa zake nzuri ninazopenda ana kijitabia ambacho sikipendi cha kukosa shukrani.

Kitu ambacho kwangu ni muhimu nikimfanyia mtu kitu hasa mpenzi wangu, akikuagiza kitu ni mpaka akipate na yeye kila tatizo akikuambia basi anataka umpe pesa hata tatizo la kawaida la kumpa pole tu yeye anataka pesa na hata ukimpa anachukulia poa tu hashukuru.Japo sasa nimetengeneza utaratibu mpya ili nimpe pesa lazima aje geto kwanza nimle, lakini sioni kama wapenzi tunatakiwa kuwa hivi.

Nifanyaje ili huyu mwanamke awe anathamini kitu ninachofanya.
 
Kama unamla kabla ya kumtimizia shida zake shukurani ya nini sasa? Ukinunua sukari kwa mangi kuna ulazima wa kushukuru kwani? Yeye anakuchukulia kama mteja wake tu.
 
1467994849406.jpg
 
Aje ghetto umlee....hee makubwa! Mnajisifia dhambii hadharani...moto unawaita joh.
 
midhali ushaazisha utaratibu mpya ngoma droo yaan hapo safi
hakikisha tu hata hizo shida za kijingajinga za kumpa pore ambapo yeye anataka pesa lazima aje gheto
kama hana shukrani na wewe hakikisha pesa yako haiyondoki bure mchukulie kama kahana wa ambiance mana wale ndo hawana shukrani

inauma sana unamtumia demu wako ela kwa tigopesa basi hata kukwambia nimeiona anaona kazi anakauka kimya shenzi sana hivi videmu vya siku hizi
mkuu huo utaratibu mpya ni mzuri enderea nao
 
Endelea na huo utaratibu mpya mpaka atakaposhtuka anatumika sana basi atapunguza kuomba hela ili pia apunguze kuliwa
 
midhali ushaazisha utaratibu mpya ngoma droo yaan hapo safi
hakikisha tu hata hizo shida za kijingajinga za kumpa pore ambapo yeye anataka pesa lazima aje gheto
kama hana shukrani na wewe hakikisha pesa yako haiyondoki bure mchukulie kama kahana wa ambiance mana wale ndo hawana shukrani

inauma sana unamtumia demu wako ela kwa tigopesa basi hata kukwambia nimeiona anaona kazi anakauka kimya shenzi sana hivi videmu vya siku hizi
mkuu huo utaratibu mpya ni mzuri enderea nao
mkuu vinakera sana, sasa akitaka kula na yeye aliwe
 
Back
Top Bottom