Wakuu jambo sana!
Katika harakati za maisha wengi hukutana na kuchota busara nyingi za wazee wetu juu ya mustakabali mzima wa maisha yetu hususani katika maisha ya mahusiano ya kimapenzi.
Bibi na Babu zangu katika harakati zangu za makuzi mlinisihi mjukuu wenu kuwa nitulie na nisiwe na papara za maisha ya mapenzi lakini yote niliyatimiza.
Mliniambia kuwa nikitulia na wangu wa maisha huko aliko anatulia,nikizini naye huzini huko aliko,nikisikiliza mambo ya wakubwa naye hufanya vivyo hivyo lakini haya yote niliyavumilia bila kuyakiuka.
Bibi na babu zangu mlioko humu MMU sikuwahi kuivunja sharti hata moja lakini cha ajabu na kusikitisha mbona mara ya kwanza nlipokutana na binti mliyeniahidi alikuwa ameshabikiriwa?ingawa mimi ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza?yupo wapi wangu wa maisha?