Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,984
Lazima tuwajulishe watoto wetu wasichana kuwa, katika maisha yao kuna nguo kuu nne za kuvaa.
Nazo ni:
1) Sare ya shule
2) Joho la Graduation
3) Gauni la Harusi
4) Maternity dress (Nguo ya mjamzito)
Hata hivyo, kama ukiruka ya kwanza, hutapata nafasi ya kuvaa ya pili
Usikimbilie kuvaa ya nne, eti kwa sababu mtu amekuahidi ya tatu.