The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,025
- 1,173
Habari zenu wandugu
Ngoja niende moja kwa moja kwenye point, kama ujuavyo hapa mjini huwezi kuishi kutumia mshara wako peke ukakutosheleza kwa mahitaji yako ya kila siku lazima uwe na dili nyingine za kukupa hela tofauti na mshahara wako ili maisha haya ya Magufuli yaende sawa.
Sasa mimi nina mzee wangu wa town ambaye yeye tunapigaga nae madili ya pesa tunapataga hela za kutosha tofauti na mshara kazi zetu ni za halali na tunapata hela kihalali tofauti na mshahara.
Huyu mzee wangu ni master wa town a.k.a Don yupo town kitambo saana so michongo ya hela anaijua na ana jina kubwa ni very famous na ana Ma Don wenzake wana hela chafu hatari so mimi ndo ananipa madili yake tufanya na ma Don wenzake.
Sasa juzi nimeomba likizo kazini ya mwezi mzima mzee wangu kanipigia simu dogo njoo nikupe dili la hela nikaenda tukakutana mahali tukawa tunapata moja moto moja baridi sasa huku michongo ya hela ikiendelea.
Akanambia dogo kuna dili limekuja sema unabidi uwe unafanyia pale nyumbani kwangu kwa sababu uko likizo itakua rahisi nikamuambia sawa mzee akanambia kesho kazi inaanza uje kwangu saa 4 mpaka 4 usiku then urudi home.
Kesho nikaenda kwa mzee akanipa dili laptop ya kazi na bundle la kutosha nikafanya kazi kama siku 4 hivi mzee akanambia kuna binti yake anasoma German tutaenda kumchkua kesho, saa 8 uwanja wa ndege kwenda kumpokea binti. Binti kawasili 3:05 alasiri mashalaaal mtoto mzuri atari.
Mara binti dady miss you so much me nikaona uzungu mwingi nikawa kimya pale mwisho wa sku tukapanda gari kurudi home mtoto akawa anashinda nyumbani pale akitaka kwenda kutembea mzee ananiambia mpeleke binti yangu "mzee ananiamini sana kiasi kwamba anajua siwezi kuwa na madhara na binti yake".
Basi mtoto uzungu mwingi mara ananishika shika bega mara shavu yaani full vituko mara anambia your looking so smart nikasema kimoyo moyo hii ni balaa.
Siku moja nikiwa niko busy nafanya kazi zangu akaja akaniita jina langu P I need to talk with you? Nikamuambia am busy maybe later we will talk akasema right now not later nikaona isiwe shida nikamuambia ok just goahead "p i want to tell you this because am thou your a right person to know this.
I never sleep with any man since i was born and the first day i saw you at Mwl.Julius Nyerere Airport i swear in my hearts your a man i will give my virginity, I was shock! Are you a virgin?
She reply to me yes am virgin and i wanna you to remove it. I told her its impossible me and you to be together like girlfriend and boyfriend and i respect your father so much and i cant lets pissed him off when he heard that he can kill me .
She reply to me "he never know that its secrete between me we will keep it secrete". I replied to her " there is no secrete between two people in this world we hide it but at the end of the day he will discover and u putt me into the big problem just go and leave me alone to proceeding with my work, i will think about your request she reply to me" I expect a good answer from you ". I reply her ok worry out .
Kidume nikarudi nyumbani kichwa kinauma balaa nikajisemea mungu kanipa mtihani mgumu. Daah mwisho wa siku tukajikuta we are in love ts true she was a virgin and i removed it .
Sasa bala mtoto karibu kila day ana think abt having sex tyuu kazi haziendi tena likizo inakaribia kuisha kazi bado haijaisha kutoka nataka ila nashindwa najiuliza mzee akijua natembea na binti yake itakuaje ? na mzee ananikubali na kuniamini sana .
Naona niko dilema wala sijielewi binti ndo kashaniganda kama kupe?mzee akanikataa mshahara wa 2mil wenyewe hauwezi nisaidia chochote hapa town .
Msaada wenu unahitajika niko dilema nina vingi vya kueleza ila nimeona nitawachosha . please please I need your help.