Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Weekend Story Loading saa 2 usiku. SI YA KUKOSA. (Kumradhi sitomalizia ile story ua get rich or die trying sababu kipya hakinyemi ibgawa ni kidonda, nimepata hiki kitu kipya cha moto moto.

On the mean time kuna get togher imeandaliwa na wadau wa jf. Nimeombwa kufikisha ujumbe.

Botellón – Get Together ya wana JF Tarehe 30 April 2016

‘Botellón’ is a group of people who meet in a public area to socialize and consume alcohol. The people buy the alcohol from local stores as a cheap alternative to an expensive night out. The phrases literally means “big bottle,” in Spanish Language.

Naandaa hiyo program one weekend baada ya Pasaka kwa wakazi wa Dar. Arrangement is very simple nunua vinywaji vyako na kama utaamua kuwa na vya ziada kisha tunakutana katika eneo la kati ya majengo ya Coco Beach na eneo panapouzwa Mihogo kuna sehemu pale imetulia na hapo tunakunywa na ku mingle mpaka night kali.

Idea ni kind of get together na networking, uko wapi unafanya nini mambo ya michongo kufahamiana na kupeana fursa ndiyo theme ya Botellon yetu.

Tarehe ya tukio hili ni siku ya Jumamosi 30 April 2016 kuanzia saa kumi kamili na kuendelea.

Mchango unaotakiwa ni kiasi cha elfu ishirini kwa kichwa kwa ajili ya kununua mishkaki na ndizi mzuzu ambazo zitasindikiza shughuli yetu.

Kutakuwa na meza maalum ambapo atakuwepo mtaalamu wa kutengeneza cocktail mbalimbali kama vile Sex in the Beach, Manhattan, Margarita, Caiprinha, NKCocktail zote zitatengenezwa bure.

Pia kutakuwa na activities mbalimbali zitakazosindikikiza siku hiyo ambazo zitakuwa useful kwa maisha yetu ya kawaida kind of utambuzi, games na mashindano ambapo zawadi mbalimbali zitatolewa na zawadi kubwa ni voucher ya Dinner for two kwenye Hoteli ya Nyota Tano.

Michango itumwe kwa namba hizi kabla ya tarehe 20 April 2015 ili kufanikisha maandalizi ya ya Botellon yetu.

Michango itumwe kwa namba hizi

+255715729292

+255752729292

+255689378895

Namba zote zitasoma Shaban Kaluse.
 
“Viola, there is a guy I want you to meet, he is cute, georgous, highly paid, and most of all is looking for a wife. I wold say you landing with him, it is an orgy of lucky! One lucky, meets another lucky, meets another and another. I would say you are chances of hitting 30 single and not dating have been minimized.” Ukapita ukimyaaa. Baadae ikabidi msemaji wa kwanza arudie :Viola nakusemesha wewe.

“Forgive me for saying this, but I don’t like him okay” Msemaji wa kwanza akadakia “Already!!!!!!? You don’t even know him? Hujawahi hata kumuona.” Msemaji aaknza kukata tamaaaa.

“Listen Tracy you my sister and all but since you like this man and approve of him, he is definitely not my type. Sorry sis to constantly disappoint you but it is what it is.” Akawa anaendela ku chatt na simu yake. Tracy akadakia “ Why? Because you are getting younger everyday? You are 29 for crying out loud!”

“Yeah! Yeah! Yeah and I am older than the earth, older than life itself” Viola akaendela kuchat kwenye simu yake. Tracy akadakia “sikia ………. “ Mara wakasikia ngoooo ngooooo ngoooooo ngoooooooo Tracya akamwambia Viola “This convo is not over dear.”

Akaitikia karibuuuuu! Akaingia shoga ake, wanamuitaga Bonge. Akawasalimu pale na kuanza kumwaga kojooo lililomletaaa. Akaomba kwanza Viola awapishe, Tracy akamwambia achana nae, yupo kwenye simu hawezi kusikia na hata akisikia hatojali wala kuchangia lolote. Namjua mie huyu dogo suguuu.

Basi bibi Bonge akaanza kusimulia mambo mengi sanaaa, kwamba ni miezi 6 mume hajaomba mchezooo. Tobaaaaaaaa! Wanalala kama kaka na dada, huwezi amini. Hata akifanya kumbembelezea hatakiiii kabisaaa. Japo hana ushahidi ila ana uhakika mume ana mchepuko njeee ndo unamkusha kwa kutokutosheka na ukuni na kujikuta umekula weeee bila kumbakishiaaa babaa. Lahaula lakwataaaaa.

Tracy ana mpa moyo inatokeaga mbonaa, hata yeye na mumewe ishawatokea sanaa mbona ila wanadeal nayo yanakuja kupitaaa. Ni kawaida kwenye ndoa sio jambo la kuwewesekaaaa.

Bi Bonge akasema tu anavoona kama yeye anabembeleza sanaaaaa so ni bora waachane atafute mtu mwingine cause she is only 33, sio kwamba kazeeka au vipi. She was just married young na kawahi kuzaaa. Ila umri bado anao mkononi infaa nini kuwa na ndoa kama tendo la ndoa lenyewe linakuwa kama deni?


Akadakia Viola, “With all those kilos, weighing 120kgs and I am being generous in the estimates, the only man you will find in your life is Jesus, and since the Holy Spirit has been so picky on appearing to people in the entire bible I am not so sure if you will find him too”. Akaendela kuchat na simu yake.

Tracy akadakia mpuuzie huyo mtu mzima ovyo anajua nini kuhusu ndoa? Anafikiri ndoa ni kama BF na GF. Hana nyimbo kabisaaa. Amsikilize yeye mtu mzima mwenzie. Huku anamkata Viola jicho la tahadhari kabla ya hatari.

Dada Bonge akaendelea kuelezea matatizo yake ila akiwa hana confidence na roho ikimuuma kwanini Viola amekuwa mkatili kwake, so insensitive and rude. Akaamua tu aendelee kumuelezea Tracy mambo yake, kuwa she feels very vulnerable, and insecure, mumewe hayupo proud nae kabisaaaa. Hata kwenye sherehe kama sio ya ndugu yake mwanamke hamwambii wala haendi nae. Kabadilika sanaaa, that is not what she bargained for alivokubali kuolewaaa, all in all centre ya maongezi yake kwamba yeye ni victim wa mumewe.

Viola akaingilia tena safari hii, tena kwa point za hatari. “You the victim? Hahahahaaaa! Think of the poor guy, he married a skinny little girl, I was there when you were married, I envied you, practically you were size 0. You were palin not so hot but you could look good on anything you put on. He showed you off to every one every chance he got. And it made all of us mad!

Maybe they didn’t tell you but he did leave his soul mate just because she was a little fat, and by little I mean just 70Kg. That is how serious he is when it comes to weight issues. It was so mean, and verybody was sad, but since you were extra skinny we let you get away with it, because even with Mange diet she would never have been as skinny as you.

Few years down the marriage you look like his mother! Hahahaaaa! It si not a laughing matter and I am ashamed of myself but seriously if you ask me, he is the victim here. You couldn’t just stop eating. 2 babies and you look like an elephant. Come on 120Kg how is that fun on bed? The guy cant even do a woman on top! Hahahaaa! Hata ukiwa umevaa nguo unatisha shogaa, je ukivuaaa? Hahahahaaaaa! Siwezi kumlaumu mumeo. Karma is realy a bich, he merciless left that girl for being a little fat and now he has to live with fattest of the fattest who loves herself for who she is is for the rest of his life. Hahahaaaaa! I guess the ex is celebrating now.

Believe Nelly before leaving your husband how about you tray to find anyother man, just to cheat with. If you succeed with that I would say you are ready for divorce. And if you don’t how about you worship your husband for the rest of his life for living with you in that intolerable state.” Akarudi kuchat kwenye simu yake.

Bonge akamwambia “If you know a lot about men, and you are such an expert why are you not married Violla? Why are you 30 single and alone.? Tracy I am going home” Tracy akiwa bado kapigwa na butwaaa jinsi Violla alivokunyaaa na kumuharishia bongeee ikabidi tu, anyanyuke kibubu bubu kumsindikiza Bonge, huku njiani akijikosha asamehewe yeye kwa maneno aliyotoa Violla.

Violla kidongo cha bongee kilimuingia barabara mpaka kwenye uti wa mgongo na kumsambaratisha nafsi yake yote. Akabakia anababaika afanye nini. Akajikuta tu ana google HOW TO FIND A HUSBAND, A PRAYER FOR A GOOD HUSBAND.

Itaendela saa leo 10:30pm
 
I will appear with my thirsty Lara 1..you are such a boss lady of ideas lady....count me in then if time befriend me..
 
Doh lara 1 huyooooooooo miss u here alot, hop mgonjwa anaendelea vyema inshaallah
Mambo yameanza noga mweh bonge kwel kachemka 120kg loooh
 
Back
Top Bottom