Sheikh Kipoozeo na sifa za mwanamke mzuri

The activist

Senior Member
Aug 9, 2014
113
225
Habari za muda wana jamvi,

Wengi tunamfahamu sheikh huyu maarufu na mwenye kutoa mawaidha ya kuvutia. Alipokua kwenye kipindi cha Take One Clouds TV ametusaidia kujua tafsiri ya mwanamke mzuri.

Mwanamke mzuri ni yule ambaye;
1. Ukimtizama unafurahi nafsini mwako.
2. Ukiwa naye unapata raha.
3. Anaweza kukutunzia amana zako (sio mtu wa kugawa gawa).

Sifa za mwanamke mzuri;
1. Awe hodari jikoni.
2. Mtundu mtundu chumbani.
3. Awe na lugha tamu hata akiwa na hasira.

Nini maoni yako?

Je una mke mzuri au wewe ni mke mzuri?
 

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,387
2,000
Uislam uko genuine sana katika swala la ndoa na mahusiano. Napenda mafundisho yake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom