myself scenario
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 347
- 213
Salaam ndugu zangu,
Baada ya kupata ushauri na maoni mengi humu ndani,niliamua kufanya DNA test nikiwa kwenye mipango ya kumuona mkemia mkuu bila kumwambia chochote yule mwanamke niliamua kumpigia tena simu ili niandae mazingira mazuri.Tulianza kuongea tena kama kawaida tu kwa muda wa kama wiki moja hivi.
Nikamuuliza vipi mtoto hajambo akanambia mtoto yuko poa.
KILICHONISHTUA:Baada ya kuongea mengi ilifikia point yule nwanamke akanambia ukweli kuwa yupo kwenye mahusiano na mwaume mwingine tangu mimba ikiwa na miezi saba nikashangaa sana anadai kuwa aliamua kuwa na huyo jamaa kwasababu mimi nilimtelekeza na jamaa alimpenda bila kujali ana mimba,jamaa alikua anampa hela ambazo zilimsaidia kimaisha.
Hakuishia hapo,akanambia tena kuwa yeye hampendi huyo jamaa ila yuko nae ki uchumi tu akaendelea kwa kusema kuwa ananipenda sana mimi ila basi tu.
MWISHO WA YOTE: Wiki iliyo pita nilimpigia simu kwa lengo la kumpa salam tu,ila alipokea kwa mashauzi sana(alionekana hataki kuongea na mimi) basi kuepusha shari nikamuuliza mwanangu hajambo? Akajibu sina mtoto na wewe.
Daah basi nikamwambia sawa.
Kiukweli nilifurahi sana kwa jibu hilo kwani kwa sasa sina stress tena. Maisha yamekua ya furaha kwangu kwani nimetua mzigo.
KWASASA: Na enjoy maisha nikiwa huru kabisa.
FUNZO: Kwa uzoefu wangu ma bar maid sio,yani karibia wote wanafanana tabia zao chafu, usithubutu uka waoa tena vaa kinga mzee.