Kwanini wasichana wengi wanaogopa mimba zaidi ya UKIMWI?

chanawaleti

Senior Member
Jul 4, 2016
176
209
Mimi nafika mahali naogopa sana maana nawaonea huruma maana ukitoka na msichana ukiwa room hawezi kukuambia bebi una kondom? Huwa atanyamaza ukianza romance tuu ametulia ukimvua kutulia ukiingiza kutulia kuhamaki mmemaliza anaanza ohh beb umekojolea ndani?

Naogopa mimba mimi jamani hawezi kukuambia bebi naogopa ngoma mimi yaani wanakimbilia mimba zaidi ya UKIMWI ila siku akisikia alietembea nae ni muadhirika huchanganyikiwa sana huwa najiuliza kwanini hamuogopi UKIMWI mnaogopa mimba?Na kwanini hamkumbushii mwanaume kutumia kondom?
 
Ni kawaida ya waschana ambao hawajapevuka. Hata mimi nilipokuwa kigori niliogopa mimba kuliko ngoma. Wakiwa wakubwa hawataogopa tena mimba badala yake wataoogopa ngoma zaidi. Badala ya kukwambia wapi ndo watakwambia tupime kwanza ikiwa fresh msuguano ni wa nyama kwa nyama. Mambo ya plastic wakubwa hawataki.

Pole .
 
Mimba inataji matunzo mengi,pia ke akishagundulika anamimba hana soko tena tofauti na mwnye HIV
 
Ni kawaida ya waschana ambao hawajapevuka. Hata mimi nilipokuwa kigori niliogopa mimba kuliko ngoma. Wakiwa wakubwa hawataogopa tena mimba badala yake wataoogopa ngoma zaidi. Badala ya kukwambia wapi ndo watakwambia tupime kwanza ikiwa fresh msuguano ni wa nyama kwa nyama. Mambo ya plastic wakubwa hawataki.

Pole .
haaaaa kwel hawa vibint vigori ndiyo walivyo na ndiyo wanaambukizwa balaa maana mwanaume huwez via kondom tunaamin kua bdo hawana maambukizi ila ukienda dry tuu umeisha
 
Kumbe mpaka leo hii kunamijitu bado inaamini uwepo wa Ukimwi?
Enyi waafrica hebu amkeni kutoka usingizini mujue Dunia inavyokwenda....
Mkuu umekuwa mtu wa tatu kusema kuwa hakuna UKIMWI sema ni silaha kama silaha zingine ambayo USA wanatumia kupunguza watu duniani wawe wachache ili iwe rahisi kuleta utawala wa serikali moja dunia nzima!

Kiukweli hata Mimi huwa siamini hicho kitu sema wakati mwingine kutokana na kuzungukwa na wengi wanaoamini hivo inapelekea kuwa ngumu sana kuwaelimisha kuwa hakuna UKIMWI.
 
mimi nafika mahali naogopa sana maana nawaonea huruma maana ukitoka na Dem ukiwa rum Hawez kukuambia bebi una kondom? huwa atanyamaza ukianza romance tuu ametulia ukimvua kutulia ukiingiza kutulia kuhamaki mmemaliza anaanza ohh beb umekojolea ndani? naogopa mimba mimi jamani Hawez kukuambia bebi naogopa ngoma mimi yaani wanakimbilia mimba zaidi ya ukimwi ila siku akisikia alietembea nae ni muadhirika huchanganyikiwa sana huwa najiuliza kwa nini hamuogopi ukimwi mnaogopa mimba? na kwa nini hamkumbushii mwanaume kutumia kondom?
Labda nikuulize na wewe mromansishaji, mvuaji, muingizaji na mkojolea ndani...wakati unayafanya yooote hayo WEWE HUOGOPI HUO UKIMWI?

Mimi naona wote wawili mna upumbavu unaofanana, tofauti yenu ni kwamba mmoja anapata mimba mwingine hapati, lakini kama ni ngono zembe mmeishiriki wote, sasa mbona unamshangaa mwenzako?
 
fuatilia uzi wangu mm mkuu nimeadhirika tayari
 
Kumbe mpaka leo hii kunamijitu bado inaamini uwepo wa Ukimwi?
Enyi waafrica hebu amkeni kutoka usingizini mujue Dunia inavyokwenda....
Tofauti ya mijitu na vijitu ni kuwa mijitu bado iko na afya na miili mikubwa wakati vijitu vimeshakongoroka na magonjwa nyemelezi. Akili nzuri ukiwanayo.
 
UKIMWI ARV zinatolewa bure
MIMBA chakula cha mtoto, matibabu, nguo havitolewi bure.
 
kipimo kikubwa cha maturity ya mwanamke ni anaegoma kutoa game bila condom hasa mkiwa hamjuani hali zenu..

wewe mtu humjui na yeye hakujui mmekutana ukubwani bado mnachakachuana kavu kavu na tena unajifanya umeensa shule na madigrii kibao ila kujua risk tu za afya yako huwezi..

mapenz ya kiutu uzima yanaanzia kichwani kwanza lazima utumie akili
 
uamuzi wa kuvaa kondom hua anao mwanaume,ukijifanya umesahau ukazamisha kichwa utaskia vaa bana condom,ukijifanya hujaskia ukaendeleza mtanange atakukumbusha tu USIMWAGIE NDANI,apo unakandamiza speed zote kwa kujimenyea free,wanawake wapo kwenye risk kubwa ya kupata HIV/AIDS mda wowote
 
Mkuu umekuwa mtu wa tatu kusema kuwa hakuna UKIMWI sema ni silaha kama silaha zingine ambayo USA wanatumia kupunguza watu duniani wawe wachache ili iwe rahisi kuleta utawala wa serikali moja dunia nzima!

Kiukweli hata Mimi huwa siamini hicho kitu sema wakati mwingine kutokana na kuzungukwa na wengi wanaoamini hivo inapelekea kuwa ngumu sana kuwaelimisha kuwa hakuna UKIMWI.
Dawa yao ni kuwaacha wafe tu mkuu!! Yanini kutumia energy yako kwa wazembe watakaoishia kukukebehi pasipo kufanya udadisi? Mi tena huwa nafurahi sana mtu anapokufa kwa ukimwi... Hehehe ningependa maafa yawe mengi zaidi ili watie akili
 
kufa kwa ukimwi ni kufa kishujaa sio kama unakufa kwa sababu ya kimbu tu
 
Back
Top Bottom