tandoor
Senior Member
- Jun 10, 2016
- 170
- 128
Salaam waku,
Mim ni mama wa mtoto mmoja nimeolewa miaka miwili iliyopita.
Tatizo langu kuu ni huyu mume wangu yeye ni mwajiriw wa sheli fulan kubwa hapa jijin,yupo upande wa pump lakini tatizo lake huyu bwana anakwepa sana majukum yake na nkimuuliza kwa nini anadai hela alipwayo ni ndogo na kila nkimwambia kuhusu maswala ya hela ye anasema hana,sasa kiukweli nashindwa kumuelewa kabisa
Binafs ni muajiriwa lkn hela niipatayo ni ndogo na hiyohiyo ndo huwa natumia kuhudumia familia.
Sasa je ntakuwa sahihi kwenda kumshatakia kwao maana nimemwambia vya kutosha ila naona haelew??au ni kweli sheli hailip hata kidogo??