Aliyeko tayari kuwa mke anatafutwa

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Habari zenu,

Mimi sifa zangu kama ifuatavyo nina degree ya kwanza ya sayansi, ni muislam nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo.

Awe muislam

Awe angalau ameishia form iv na kuendelea pia awe na uwezo wa kusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo.

Awe kabila lolote.

Awe na mapenzi ya dhati

Kazi siyo lazima awe nayo

Umri 18-26 yrs

Kwa aliyetari na aliyeserious anitafute 0758 106 501 napatikana 24hrs.
 
Haya, subiri wenyewe waje mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom