Pale mke wangu anapomuonea wivu mwanae mchanga

Protocol37

Member
Joined
Mar 18, 2016
Posts
32
Reaction score
19
Jambo hili limekuwa linanishangaza. Zamani nilikuwa nasikia kuwa mwanamke akizaa huamishia mapenzi kwa mtoto akimuacha mume anajikunyata. Lakini sasa yamenikuta mke wangu analalamika kwamba nimehamishia mapenzi kwa mtoto wetu mdogo wa kike ambaye sasa ana miezi mitatu. Haya mambo yananitatiza sana kwani wanawake mna nini hadi mnashindana na wanenu wachanga?
 
Jiandae kesi ya kunajisi mtoto hapo!!
 
duuh! ngoja waje wenyewe huenda wakawa na maelezo ya kutosheleza
 
Ni kawaida wewe hufeel lakini yeye anaona kuna tofauti sana
-ukipiga simu ukishamsalimia mamaake lazima utauliza mtoto anaendeleaje nk...mwanzoni hili swali halikuwepo
-response kwa mtoto inakuwa kubwa kuliko kwake..
Mwanzoni hii hali haikuwepo
-caring kubwa ni kwa mtoto wakati kabla yake ilikuwa ni kwake
-kwenye mitandao picha ni ya mtoto sio yake nk nk
 
Jitahidi kubalance kati ya hao wanawake wawili ulio nao. Mdekeze mke wako, ikiwezekana mpikie chakula kwa mikono yako mwenyewe siku moja moja, ikiwezekana hata mara moja kwa wiki mtoe outing hat kama ni kunywa chai na kahawa lakini iwe nyinyi wawili tu. Kuna wanaume wanasahau kabisa mke kukiwa na mtoto.
 
Jitahidi kubalance kati ya hao wanawake wawili ulio nao. Mdekeze mke wako, ikiwezekana mpikia chakula kwa mikono yako mwenyewe siku moja moja, ikiwezekana hata mara moja kwa wiki mtoe outing hat kama ni kunywa chai na kahawa lakini iwe nyinyi wawili tu. Kuna wanaume wanasahau kabisa mke kukiwa na mtoto.
Sometimes it is something that happens naturally
 
Ha ha hata Mimi nilishawahi kumuonea wivu mtoto wangu Wa kiume lakini si kwa kuumia ila kutamani tuu ningepata hata nusu ya mapenzi hayo toka kwa mama yake, noma zaidi mda unaomuhitaji mama Dogo halali maana nikiwepo around hasinzii hata kidogo ananikubali mno
 
Ni stage kwy ukuaji wa watoto apambo mtoto wa kike anakua sexually attracted kwa baba yake mzazi na mtoto wa kiume anaku sexually attracted kwa mama yake! Ni kawaida!
 
Jambo hili limekuwa linanishangaza. Zamani nilikuwa nasikia kuwa mwanamke akizaa huamishia mapenzi kwa mtoto akimuacha mume anajikunyata. Lakini sasa yamenikuta mke wangu analalamika kwamba nimehamishia mapenzi kwa mtoto wetu mdogo wa kike ambaye sasa ana miezi mitatu. Haya mambo yananitatiza sana kwani wanawake mna nini hadi mnashindana na wanenu wachanga?
Mimi nilishaambiwa kwa nini naanza kumuullizia mtoto kila mara
 
Ni kawaida wewe hufeel lakini yeye anaona kuna tofauti sana
-ukipiga simu ukishamsalimia mamaake lazima utauliza mtoto anaendeleaje nk...mwanzoni hili swali halikuwepo
-response kwa mtoto inakuwa kubwa kuliko kwake..
Mwanzoni hii hali haikuwepo
-caring kubwa ni kwa mtoto wakati kabla yake ilikuwa ni kwake
-kwenye mitandao picha ni ya mtoto sio yake nk nk
Mkuu umepiga ikulu. Kama ulikuwepo maana ndivo ilivo seriously nampenda mtoto wangu na kumjali sana
 
Ikiwa mnadunduliza vijisenti vyenu muweze kujinunulia kausafiri cha familia na mkafanikiwa, siku mkikanunua itakuwa furaha sana na mtatunza sana gari yenu, mtoto ni zaidi ya gari. Sababu nia ya kuoa ni kuwa na familia, watoto ndio familia yenyewe. Mwambie mamsapu aache wivu.
 
Back
Top Bottom