Finally, nimeweza kuvuka kipindi kigumu

Finally, nimeweza kuvuka kipindi kigumu

SPSS

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
711
Reaction score
388
Habari wakuu,

Kwanza kabisa nikiri for last 2 month my life has been a living a hell, nimeendelea kua na bad luck kwenye mahusiano kiasi chakunifanya nikate tamaa yakumpata mwenza ingawa najipa moyo bado naweza kufanikiwa maana hakuna namna nyingne (soon or later i should have someone)

I was in relationship with a girl of whom i thought we had the same intention, unfortnately i came to realize we were not, nilimpenda sana nikapata matumaini mapya yakuwa na msichana ambae anajielewa kumbe she was worse, amenifanyia kitu ambacho sikutegemea and kumuadhibu nimeamua kumsamehe ili nipate muda mzuri wakumuumiza kama ambavyo amenifanyia, kwanza mapenzi nae sina ingawa ukinikuta nae utasema this is it, a lovely couple ever, namjali sana, namdekeza ila deep down nataka anipende unconditional na awe vulnearable alafu what next God and I knows. Sijaeleza much details coz muhusika anaweza kuwepo humu so mtaniwia radhi.

I just wanted to write something and here i did

Jioni njema.
 
1469812193840.jpg
 
Habari wakuu

Kwanza kabisa nikiri for last 2 month my life has been a living a hell,nimeendelea kua na bad luck kwenye mahusiano kiasi chakunifanya nikate tamaa yakumpata mwenza ingawa najipa moyo bado naweza kufanikiwa maana hakuna namna nyingne(soon or later i should have someone)

I was in relationship with a girl of whom i thought we had the same intention,unfortnately i came to realize we were not,nilimpenda sana nikapata matumain mapya yakua na msichana ambae anajielewa kumbe she was worse,amenifanyia kitu ambacho sikutegemea and kumuadhibu nimeamua kumsamehe ili nipate muda mzuri wa kumuumiza kama ambavyo amenifanyia,kwanza mapenzi nae sina ingawa ukinikuta nae utasema this is it,a lovely couple ever,namjali sana,namdekeza ila deep down nataka anipende unconditional na awe vulnearable alaf what next God and I knows,,,sijaeleza much details coz muhusika anaweza kuwepo umu so mtaniwia radhi

I just wanted to write something and here i dd
jion njema
Bro fafanua hapo.
 
nataka nimuache kipindi ambacho atakua yuko kwenye peak yakunipenda,,,by doin that ntakua nimempa funzo kwamba nxt time akisema anampenda mtu maanishe
Kama utaamua kumuacha we muache bila kujali kuwa unataka kumuumiza,suala la yy kuumia litokee kama bahati mbaya na co kusudio....Epuka visasi kwani mwanamke ni dhaifu hata ww una udhaifu wako..utakuja kumkosea huyo next girl wako nae atakufanyia surprise attack...REF:UTUSAMEHE KAMA NASI TUNAVYOWASAMEHE WANAOTUKOSEA NA USITUTIE MAJARIBUNI...Ww mwambie humtaki ili akuheshimu ila usisubiri kumvizia umuumize kwan huwez jua atakuchenjia muda gani.
 
Kama utaamua kumuacha we muache bila kujali kuwa unataka kumuumiza,suala la yy kuumia litokee kama bahati mbaya na co kusudio....Epuka visasi kwani mwanamke ni dhaifu hata ww una udhaifu wako..utakuja kumkosea huyo next girl wako nae atakufanyia surprise attack...REF:UTUSAMEHE KAMA NASI TUNAVYOWASAMEHE WANAOTUKOSEA NA USITUTIE MAJARIBUNI...Ww mwambie humtaki ili akuheshimu ila usisubiri kumvizia umuumize kwan huwez jua atakuchenjia muda gani.
nafaham kama nataka kufanya jambo labusara thats is exactly what i should do ila i jst want to do a stupid thing kumuonyesha how it pains
 
Unaeza kudhani ndio best option kumbe hata habari hapati we huna mambo ya kufanya mkuu? Achana nae Fanya mambo yako
hahaha kusema kuhakikisha ananipenda mpk anakua vulnearable in other words ndo kuhakikisha baada yakumuacha anaumia,,,miongoni mwa kaz zangu zamaana this month imekua nipamoja na iyo
 
Back
Top Bottom